UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA NI KWELI CCM IMEONGOZA LAKINI IMEPOTEZA SANA

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA NI KWELI CCM IMEONGOZA LAKINI IMEPOTEZA SANA

Mwanamichezo Lance Armstrong anayeshikilia rekodi ya kushinda mara nyingi katika mchezo wa baiskeli aliwahi kunukuliwa akisema “Kama uko tayari kuchunguza kushindwa kwako, kwa kuangalia sababu za kushindwa za ndani na nje ikiwemo utendaji wako, basi kushindwa kunaweza kuwa na thamani zaidi ya kujitangazia ushindi”. Wengi wanaweza kuhoji kwa nini nimemkumbuka Bw. Amstrong leo, ila sababu … Continue reading

ARUSHA; CCM YAONGOZA MITAA 78 KATI YA HIYO 6 KWA PINGAMIZI HUKU UKAWA WAKIPATA MITAA 75, MTAA MMOJA KURUDIWA .

ARUSHA; CCM YAONGOZA MITAA 78 KATI YA HIYO 6 KWA PINGAMIZI HUKU UKAWA WAKIPATA MITAA 75, MTAA MMOJA KURUDIWA .

Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kuongoza katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kuwabwaga mahasimu wao wakubwa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi kiduchu, ambapo imefanikiwa kunyakua mitaa 78 na chadema kuambulia 75 katika matokeo ya awali. Pamoja na dosari za hapa na pale katika uchaguzi huo uliyopelekea kuailishwa kwa kituo kimoja nafasi … Continue reading

SASA NI ZAMU YA HAPPINESS MISS WORD… GO TEAM TZ GO

SASA NI ZAMU YA HAPPINESS MISS WORD… GO TEAM TZ GO

NEW TOP 10 on the Miss World People’s Choice! AUSTRALIA BARBADOS HAITI INDIA NEPAL NETHERLANDS PHILIPPINES SOUTH AFRICA TANZANIA – NEW ENTRY! THAILAND TANZANIA jumps up into the top 10 today, with Russia dropping out! Voting closes 15:30 on Sunday 14th December, so there is only 96 to go! Download the Miss World App for … Continue reading

VETA WAHASWA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU WAO….

VETA WAHASWA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU WAO….

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wametakiwa kuhakikisha wanasikiliza maoni ya wadau ili kujua mahitaji yao sambamba na kubadili mitaala ya elimu ya mafunzo yanayotolewa kwenye vyuo hivyo ili kuendana na soko la ajira. Hayo yamesemwa jijini Arusha na Waziri wa kazi na ajira, Gaudensia Kabaka  wakati alipokuwa akizindua kongamano lililoshirikisha wadau … Continue reading

MOVIE REVEW: – PICHA YA SAVING PRIVATE RYAN (1998).

MOVIE REVEW: – PICHA YA SAVING PRIVATE RYAN (1998).

Leo wakati napitia order za movie nimekutana na order ya Saving Private Ryan, nikastuka siyo kwavile haipo kwenye maktaba yangu, la hasha bali mdau wangu amenikumbusha filamu ambayo Motion Picture Arts and Sciences waliipendekeza kuwania zaidi ya tuzo 11 mwaka 1998 huku ikijikusanyia mapato ya zaidi ya dola milioni 481.8 na director wake Steven Spielberg … Continue reading

MOVIE REVEW:- PICHA MPYA “MY MAN IS A LOSER” (2014).

MOVIE REVEW:- PICHA MPYA “MY MAN IS A LOSER” (2014).

My man is a loser ni filamu ambayo ni ya ucheshi (comedy) kwa mara ya kwanza ilionyeshwa kwenye big screen Julai 25, 2014. Stori line ya filamu hii ni wanandoa wawili ambao walimwajiri rafiki yao kapera (single playboy) ili awasaidie kuokoa ndoa zao, lakini mambo haya kwenda kama yalivyo tarajiwa …. haikuchukua muda wake zao … Continue reading

SERENGETI FIESTA 2014 MOTO WA KIVU MWANZA.

SERENGETI FIESTA 2014 MOTO WA KIVU MWANZA.

Wasanii mbalimbali jana August 9, 2014. waliwaburudisha mashabiki wa muziki wao katika tamasha la Serengeti Fiesta jijini Mwanza. Diamond na Linah Miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Stamina,Madee,Dogo Janja,Jokate, Nay wa Mitego,Nyandu Tozi, Mr Blue, Diamond, Chege na Temba na wengine wengi. Hizi ni picha za show hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa CCM … Continue reading