MSAFIRI MBWAMBO MWENYEKITI WA CHADEMA KATA YA USA RIVER AUAWA.

MWENYEKITI wa Chadema wa kata ya Usa River w i l a y a ya Arumeru mkoani wa Arusha, Msafiri Mbwambo (32) mkazi wa Lake Tatu, ameuawa kwa kuchinjwa na kiwiliwili kutelekezwa makaburini na watu wasiojulikana.

Tukio hilo linalohusishwa na masuala ya kisiasa, lilitokea juzi saa tatu usiku eneo la Mukidoma, Usa River, ambako wauaji wanadaiwa kutumia panga kumchinja Mbwambo na kutokomea.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, walidai kuwa kabla ya tukio Mbwambo alikuwa na wenzake wakistarehe kwa vinywaji, lakini yeye hakuwa anakunywa chochote lakini ghafla alipigiwa simu na watu hao, wakidai kuwapo wanachama wa CCM waliotaka kurudisha kadi na kujiunga na Chadema. 

Taarifa zilidai kuwa Mbwambo alichukua pikipiki na kuwafuata, lakini hakurudi hadi mwili wake ulipokutwa umetelekezwa kando ya barabara makaburini, pikipiki na vitu vingine vikiwa eneo hilo bila kuchukuliwa na wauaji.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye, alithibitisha kutokea tukio hilo na kudai kuwa, polisi bado wanafanya uchunguzi na hadi sasa hakuna mtu anayeshikiliwa na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika mochari ya hospitali ya mkoa ya Mount Meru kwa uchunguzi zaidi.

Advertisements

MARAIS WA EAC WAWAAGIZA MAWAZIRI WA JUMUIYA HIYO KUANZA UHAKIKI WA MAOMBI YA SUDAN KUSINI.

MARAIS wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wameliagiza Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo kuanza uhakiki wa maombi ya Sudan ya Kusini ambayo imeomba kujiunga na jumuiya hiyo.

Katika mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha, Marais hao, Jakaya Kikwete ambaye alikuwa mwenyeji wa mkutano, Mwai Kibaki wa Kenya, Paul Kagame wa Rwanda na Yoweri Museveni wa Uganda na Makamu wa kwanza wa Rais wa Burundi, Therence Sinunguruza wameeleza kusikitishwa kwao na mgogoro wa nchi za Sudan.

Wametaka taarifa iwafikie katika mkutano ujao utakafanyika Novemba mwaka huu.

Mkutano huo pia umeshuhudia itifaki ya masuala ya ushirikiano wa ulinzi miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki ambapo hivi sasa nchi moja ikivamiwa nchi zote za jumuiya zitashirikiana katika vita hiyo.

Hivi sasa itifaki hiyo itatakiwa kuridhiwa na mabunge ya nchi wanachama ifikapo Novemba 30, mwaka huu na baada ya hapo utakuwa mkataba utakaozilazimu nchi hizo kushirikiana katika masuala hayo ya ulinzi.

Katika hatua nyingine marais hao wametaka vita kati ya nchi za Sudan na Sudan Kusini kukomeshwa na nchi hizo zirejee katika meza ya mazungumzo.

“Tunawaasa viongozi wa nchi hizo mbili warudi katika meza ya mazungumzo na kutafuta njia ya amani ya kumaliza masuala yaliyobaki katika mkataba wa amani,” wakuu hao wa nchi walisema katika taarifa ya pamoja ambayo pia imesema wataendelea na wajibu wa kutafuta 

amani katika nchi hizo mbili na zingine zinazopakana na nchi za jumuiya hiyo.

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LIZINGATIE UWEZO WA MTU NA UTASHI WA KUTATUA MATATIZO YA WATANZANIA

• Wateuliwe watu ambao hawatumii umasikini wa Watanzania kujitajirisha.

• Tufike mahali sasa tusioneane aibu.
• Miongoni mwa Watanzania zaidi ya milioni 45, wamo watu wenye uwezo na nia ya dhati ya kuondoa kero za wananchi.

Hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutaka kulisuka upya Baraza lake, inatia moyo japo ni hatua hiliyo chelewa. Ni takribani wiki mbili sasa watanzania walikuwa wakipaza sauti na maneno ya kukata tama vikiashiria upungufu wa utendaji kutoka kwa wasaidizi wake.

Kama ambavyo wamesema baadhi ya wananchi, tumepata moyo kwa kusikia kauli hiyo ya Rais na hatua anayotaka kuichukua na kwa kweli ndiyo pekee inayoweza kumaliza kilio hicho, hasa kutokana na jinsi wabunge walivyokuwa wamepania hata kutaka kumng’oa Waziri Mkuu.

Tunaamini Rais Kikwete atatumia busara na hekima ya juu kufanya mabadiliko katika Baraza hilo kwa kuweka watu ambao wanaumia kuona wananchi wanateseka, lakini walio pia tayari kujitolea kutatua matatizo ya wananchi. 

Ataweka watu ambao hawatumii umasikini wa Watanzania kujitajirisha na wale ambao wanathubutu kujitolea kukabiliana na matatizo ya wananchi bila kusubiri kusukumwa na Rais.
 
Si siri kwamba Rais anakuwa katika kipindi kigumu sana anapokuwa na wasaidizi ambao badala ya kutumikia nafasi walizopewa kwa maslahi ya wananchi, ndiyo kwanza wanazitumia kujinufaisha huku rasilimali za Taifa zikifujwa. 

Taswira iliyojitokeza katika Mkutano wa Bunge uliopita, ilidhihirisha wazi jinsi wananchi walivyo choka kuona baadhi ya mawaziri hawatendi inavyopasa kutendwa na badala yake wanamwachia kila kitu Rais na Waziri Mkuu kukifanya. 

Tufike mahali sasa tusioneane aibu, wala ambao Rais ataona hawastahili kurudi au kuwamo katika Baraza hilo awaondoe na atafute hata nje ya wabunge wa sasa, kwa kutumia nafasi aliyonayo ya uteuzi kuteua wabunge na kuwapa uwaziri ili mradi ana uhakika watamsaidia kutatua kero za wananchi.

Miongoni mwa Watanzania zaidi ya milioni 45, wamo watu wenye uwezo na nia ya dhati ya kumsaidia Rais na wananchi katika kuondokana na kero na vikwazo vya maendeleo vilivyo ndani ya uwezo na kuhakikisha yanapatikana maisha bora kwa kila Mtanzania.

Watanzania waitakiayo nchi hii mema na maendeleo bila shaka watakuwa nyuma ya Rais Kikwete na kumuunga mkono katika mageuzi ambayo amepanga kuyafanya, ili kuwa na mawaziri ambao mtu yeyote akiulizwa, akiri kuwa ni mawaziri hasa wanaostahili.

JOB SCAN {MATOKEO YA NAFASI ZA KAZI LEO} JUMAPILI APRILI 29, 2012

SECURITY GUARD GRADE I

Qualification: Certificate of Secondary Education with militia training Phase II orNational Service training or equivalent training.

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT GRADE I – 2 POSITIONS

Qualification: Certificate of Secondary Education with a one year certificate in records management.

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

PERSONAL SECRETARY GRADE I – 6 POSITIONS

Qualification: Certificate of Secondary Education or Advanced Certificate of Secondary Education with 1 year certificate in secretarial
Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

INTERNAL AUDITOR GRADE II

Qualification: CPA and B.Com Accounting or equivalent qualification from recognized higher learning Institutions or equivalent.

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

SENIOR ACCOUNTING TECHNICIAN GRADE I

Qualification: Advanced Certificate of Secondary Education and Foundation stage Module A & B

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012


SENIOR ACCOUNTANT GRADE I

Qualification: CPA (T) CCA and relevant Master degree from recognized higher learning Institutions

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012


SUPPLIES TECHNICIAN GRADE I

Qualification: Certificate of Secondary Education with a one year Certificate in Materials Management from recognized Institution.

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012


PROCUREMENT AND SUPPLIES MANAGER

Qualification: Masters degree in the relevant field from recognized higher learning Institutions degree plus CSP
Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

 ASSISTANT LECTURER – 5 POSITIONS

Qualification: Masters degree in the relevant field of study from recognized higher learning Institutions with first degree of minimum of a GPA of 3.8

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012


ASSISTANT LECTURER – 3 POSTS (HUMAN RESOURCE PLANNING AND MANAGEMENT)

Qualification: Masters Degree in the relevant field mentioned above with at least Upper Second Class at Bachelor degree

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

REGISTRY ASSISTANT GRADE II – DAR

Qualification: Form IV/VI National Examination Certificate with a certificate in Records Management from a recognized Institution.

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012


OFFICE ASSISTANT – KYELA

Qualification: National form IV Certificate holders with passes in English and Kiswahili

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

FOURTH OFFICER GRADE GRADE II – KYELA

Qualification: Certificate of Competence as Fourth Officer or Certificate afterexaminations as laid down by the Merchant Shipping act.

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam.

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012


OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II – MWANZA

Qualification: National form IV or VI Certificate holders with Diploma in Secretarial studies from the TPSC

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

PERSONAL SECRETARY GRADE II – KYELA

Qualification: Form IV/VI CErtificate holders with passesin English and Kiswahili, who have passes secretarial Examination stage III

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline: May   04, 2012

HUMAN RESOURCES AND ADMINISTRATION OFFICER GRADE II – DAR

Qualification: Bachelor degree in Industrial Relations,Public Adminstration,Personnel Management,Business Administration or equivalent qualification

Apply:  Secretary Public Service Recruitment Secretariat Box 63100, Dar es Salaam

Details: Daily News April 20, 2012

Deadline:  May   04, 2012

MANAGER: ANALYTICS AND MIS

Qualification: Holder of post graduate mathematics /statistics related qualification will be an added advantage

Apply:  Chief Executive Officer Tanzania Post Bank Box 9300, Dar es Salaam

Details: Mwananchi April 19, 2012

Deadline:  May 05, 2012


MARKETING MANAGER

Qualification: Bachelor degree in BBA/Bcom Marketing
Apply:  Human Resources Manager, Mwananchi Communication Ltd Box 1975, Dar es Salaam

Details: Mwananchi April 19, 2012

Deadline:  May 03, 2012


FINANCE & ADMINISTRATION MANAGER

Qualification: Certified Public Accountant (CPA – T) or similar qualification, master degree in Business Administration

Apply: Chief Executive Officer, small Enterprise Development Agency Box 1546, Arusha.

Details: Daily News April 03, 2012

Deadline:  April 30, 2012


MANAGEMENT ANALYST (HUMAN RESOURCES MANAGEMENT)

Qualification: A Bachelor Commerce degree or equivalent from a recognized Institution of higher learning.

Apply: Managing Director, National Institute for Productivity Box 2021, Dar es Salaam

Details: Daily Dews March 29, 2012

Deadline:  April 30, 2012

 MANAGEMENT ANALYST (STATISTICS)

Qualification: A Bachelor of Arts degree or equivalent from a recognized Institution of higher learning.

Apply: Managing Director, National Institute for Productivity Box 2021, Dar es Salaam

Details: Daily Dews March 29, 2012

Deadline:  April 30, 2012


FINANCE & ADMINISTRATION MANAGER

Qualification: Certified Public Accountant (CPA – T) or similar qualification, master degree in Business Administration

Apply: Chief Executive Officer, small Enterprise Development Agency Box 1546, Arusha

Details: Daily News April 03, 2012

Deadline:  April 30, 2012


MANAGEMENT ANALYST (HUMAN RESOURCES MANAGEMENT)

Qualification: A Bachelor Commerce degree or equivalent from a recognized Institution of higher learning

Apply: Managing Director, National Institute for Productivity Box 2021, Dar es Salaam

Details: Daily Dews March 29, 2012

Deadline:  April 30, 2012


MANAGEMENT ANALYST (STATISTICS)

Qualification: A Bachelor of Arts degree or equivalent from a recognized Institution of higher learning

Apply: Managing Director, National Institute for Productivity Box 2021, Dar es Salaam

Details: Daily Dews March 29, 2012

Deadline:  April 30, 2012