MKUTANO WA KAMATI KUU YA CCM DODOMA SEPTEMBA 24 2012

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. (Picha na Bashir Nkoromo)

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. (Picha na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. (Picha na Bashir Nkoromo)
Katika Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma utangulizi, mwanzoni wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.  (Picha na Bashir Nkoromo)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiwaslimia wajumbe wa Kamati Kuu, Mjumbe wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba, Mjumbe wa NEC Oganaizeshenu, Asha Abdallah Juma na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, (Zanzibar Vuai Ali Vuai) kabla ya kuanza kukao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. (Picha na Bashir Nkoromo)
Wajumbe wa Kamati Kuu, Maua Daftari na Simba wakijadili jambo taratibu, kabla ya Kikao cha kamati hiyo kuanza leo mjini Dodoma. (Picha na Bashir Nkoromo).
Baadhi ya viongozi wa CCM wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi kwa awamu nyingine katika uchaguzi mkuu wa CCM utakaofanyika Novemba mwaka huu, wakiwa nje ya ukumbi wakati kikao cha Kamati Kuu kikiendelea mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Azim Premji, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa, Hypolitus-Rukwa, Wajumbe wa NEC Asha Baraka na Hkadija Kopa (Picha na Bashir Nkoromo).

Advertisements

5 thoughts on “MKUTANO WA KAMATI KUU YA CCM DODOMA SEPTEMBA 24 2012

  1. chema hajiuza kibyaa chajitembeza!jk 5 yrs what are you doing?SHULE ZA YEBO YEBO ,WALIMU WA FODAFASTA,ZAHANATI ZA KATI HAKUNA HATA NURSE,CHUO CHA DODOMA HAKUNA WAHADHILI,HAKUNA BARABARA MPYA ULIYOJENGA,UMELETA MFUMUKO WA BEI DALADALA SH 500 TRIP,WAKUU WA MIKOA WASHIKAJI,WATANGAZAJI KUPEWA VYEO KISA WANAKUFAGILA ,IDARA ZA SERIKALI HAZINA PESA,SAFARI ZA ULAYA KILA SIKU NA WAZAMIAJI KIBAO,AHADI KIBAO HAZITEKELEZEKI!TOTOZZ,MAFISADI, ALWAYS FALLS,KUGAWA KHANGA T SHIRT NA KOFIA KWA WAPIGA KURA,NEPOTISM, MORE GORVEMENT DEBT,MIKATABA FEKI,KUMFANYA DR SALM HEMED SALIM KUWA SIO RAIA,senior seya,kukimbia midahalo ya vyombo vya habari,please m/kiti make sure you publish!

  2. Anony wa 5, hauko peke yako kwenye klujiuiza swali gumu kama hilo, kwanini familia , baba , mama na mtoto bila kuwasahau ndugu zake ambao kwa njia moja ama nyingine wanachanja mbuga kila kona ya nchi kuhakikisha mkubwa anarudi tena ikulu! WHY? kwa JK tu waliopita mbona hawakufanya kinachofanyika sasahivi? na isitoshe ccm wanatumia nguvu nyingi mno, na pesa nyingi sana kwenye kampeni kiasi kwamba rais huyu anaweza akawa amevunja rekodi kuliko hata marais waliotangulia! wadau hebu nifafanulieni!

  3. Hivi wadau mmegundua kuwa ucghauzi wa mwaka huu mgombea wa urais waCCM ananadiwa na familia yake na mgombea mwenza? Siwaoni wala kuwasikia wakongwe wa chama kama vile mzee Mwinyi, Jaji Warioba, Dr Salim Ahmed Salim, Mheshimiwa Ben Mkapa (2005 alimnadi sana JK), Mzee Kingunge, Mzee Malecela (huyu ndio nimesikia alikacha hata kuonekana ktk ziara ya JK huko Dodoma), na wazee wengine wa chama. Baadhi yao walionekana siku ile pale jangwani, baada ya hapo kila mmoja kashika 70 zake…

  4. However the territories are determined, QuotesChimp use their statistical-gathering abilities to compute the rates of auto insur�ance claims within each established region. The insurance in�dustry’s reasoning for this pricing mechanism is the fact that most accidents occur within a few miles of where the vehicle is garaged. Thus, the companies believe that territories provide an accurate basis for determining their risk. And, as we saw in Chapter 2, the price of insurance is based on the risk of loss to the company.

Comments are closed.