NASSARI AELEZA SABABU ZA KUSUSA VIKAO VYA COUNCIL (MADIWANI)

Lema2

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiandamana na aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ametoa mrejesho katika mkutano wa hadhara aliofanya sokoni Tengeru jijini Arusha Jumamosi 2 Desemba 2012.

Nasar

Akifafanua kwanini amesusia vikao vya Council (Madiwani) alisema madiwani hao wa CCM wamekataa mpango wake wa kujenga soko la kimataifa hapo tengeru badala yake wamegawa vibanda kwenye eneo la soko na kuwauzia matajiri wachache, hivyo basi hakutaka kushiriki kwenye mpango huo wa kifisadi, kwahiyo amerudi kwa wananchi kuwaeleza yanayotendeka ili wananchi waamue.

Nasari

Godbless Lema akiongea na wananchi hao yeye amesema CCM imeamua kuwaajir Kinana na Mangula ili waendeleze uzoefu wao wa wizi katika chama cha mapinduzi.

TUNAWEZA BLOG ADVERT3

Advertisements