BREAKING NEWS; ARUSHA HAPATOSHI! LEMA ASHINDA, NI ZAWADI YA X-MASS KWA WANA ARUSHA.

m2s breaking news

  • LISSU AMEDHIHIRISHA KUWA NI WAKILI TISHIO.

DSC00029
DSC00054
PICHA ZOTE NI ZA MAKAMANI LEO LEO……. 

Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema ameshinda Rufaa yake ya Ubunge leo Asubuhi na hivyo kuendelea kuongoza jimbo  la Arusha mjini.

Lema alivuliwa ubunge Aprili 5, 2012 katika hukumu iliyotolewa na Jaji Gabriel Rwakibalira, kutokana na kesi iliyofunguliwa na makada watatu wa CCM; Mussa Mkanga, Happy Kivuyo na Agnes Mollel, wakipinga ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.

Habari kamili baadae Kidogo endelea kuperuzi. Hongereni Chadema na Wanaarusha wote kwa ushindi wa kishindo.

TUNAWEZA BLOG ADVERT3

Advertisements

3 thoughts on “BREAKING NEWS; ARUSHA HAPATOSHI! LEMA ASHINDA, NI ZAWADI YA X-MASS KWA WANA ARUSHA.

  1. Ee Mungu ushukuriwe daima. Naamini 2015 utayajibu maombi yetu kwa kutupa uhuru ulio wa kweli co wa bendera kama uliopo. Wana2ibia mabilion kwenye rasilimal ze2 ulizo2pa na vizazi vye2 wanafaidika wao na matumbo yao na ndugu zao kwani wao ndo wenye haki na nchi hii ee Mungu? Nakuomba uickie kilio chetu. Viva chadema! Viva m4c!

Comments are closed.