MTANGAZAJI NA DJ SAMORINA AMBAKISYE a.k.a DJ BUPE AMEFARIKI DUNIA

bupe

DJ BUPE AKIWA KAZINI ENZI ZA UHAI WAKE.

MTANGAZAJI NA DJ WA MAMBO JAMBO RADIO (MJ FM) 93.0 SAMORINA AMBAKISYE a.k.a DJ BUPE AMEFARIKI DUNIA SIKU YA TAREHE 16 JAN 2013 MCHANA KATIKA HOSPITALI YA SELIAN KWA UGONJWA WA BREAST CANCER.

AMEKUWA AKIFANYA KAZI NA REDIO YA MJ FM TANGU KUANZA KWAKE MIAKA ZAIDI YA MITANO ILIYOPITA. BAADHI YA VIPINDI AMBAVYO ALIKUWA ANAFANYA KABLA YA MAUTI KUMFIKA NI  NI PAMOJA NA

** DANCE FEVER KILA SIKU YA IJUMAA SAA MOJA JIONI HADI SITA USIKU
** REGGAE FEVER KILA JUMAPILI SAA TISA MPAKA MOJA JIONI
** NIGHT EXPRESS

MUNGU AMEMPENDA ZAIDI JAPO TULIMPENDA SANA DJ BUPE…… INNALLAH WAINALLAH RAJIUN….
MUNGU AILAZE ROHO YA DJ BUPE MAHALI PEMA PEPONI AMEEN…

WAFANYAKAZI WOTE WA M2S PAMOJA NA BLOG YA MEDIA2SOLUTION NA JAMII BLOG WANAWAPA POLE NDUGU NA JAMAA  WOTE WALIOGUSWA NA MSIBA HUU MKUBWA KWETU.

KWA HABARI ZAIDI ZA MSIBA HUU ENDELEA KUPELUZI BLOG HII TUTAKUABALISHA .

hakimadini sera

Advertisements

2 thoughts on “MTANGAZAJI NA DJ SAMORINA AMBAKISYE a.k.a DJ BUPE AMEFARIKI DUNIA

  1. We have decided to open our POWERFUL and PRIVATE web traffic system to the public for a limited time! You can sign up for our UP SCALE network with a free trial as we get started with the public’s orders. Imagine how your bank account will look when your website gets the traffic it deserves. Visit us today: http://voxseo.com/traffic/

  2. When someohe writes aan paragraph he/she maintains the idea of
    a user in his/her mind that how a user can be aware of it.
    So that’s why this paragraph is outstdanding.

    Thanks!

Comments are closed.