SIKILIZA MJADALA KUHUSU MGOGORO WA GESI MTWARA KUPITIA SAUTI YA AMERIKA VOA

 

downloadbuttons150x40

 

BOFYA HAPA KUSIKILIZA MOJA KWA MOJA

MJADALA KUHUSU MGOGORO WA GESI MTWARA – SAUTI YA AMERICA (voa)

WAKATI HUO HUO JANA KULIKUWA NA TAHARIFA

Sintofahamu bado inazidi kuitesa mtwara.vurugu zimeendelea tangu asubuhi saa tatu leo tar 25.01.2013 kituo kimoja cha polisi chateketezwa kwa moto,mwandishi wa chanel ten amejeruhiwa na polisi na kushonwa juzi saba pamoja na gar ya polisi kuharibiwa na mawe. Hali ni tete sana

my take: SERIKALI LAZIMA IJADILIANE NA WANANCHI? 


Chanzo:Jamiiforums.com

hakimadini sera

Advertisements