BREAKING NEWS; PPF TOWER{Dar es salaam} INAUNGUA MOTO MDA HUU

PPF Tower inawaka moto muda huu, Jengo hilo ambalo lipo makutano ya Mtaa wa Ohio na Garden Avenue linawaka moto mkali juu kabisa, fire zimefika na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea…. Moto unaendelea na kibaya ni vyumba vya juu ndio vinawaka lakini police wamefika pia zima moto wapo na waliopanda juu bado hawajashuka kutujuza.

Endelea kutembelea blog hii tutaendelea kukujuza kinachoendelea.

hakimadini sera
Advertisements