MWANAMKE ANAANGALIA NINI KWA MWANAUME WANAPOKUTANA

mimi

 1. Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.

 2. Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna. 

 3. Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna. 

 4. Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika. 

 5. Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa. 

 6. Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia. 

 7. Ukiongea nae muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujamtongoza, anajua umempenda. 

 8. Ukimshika au kumgusa popote kwenye maongezi basi unamtaka kimwili. 

 9. Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu. 

 10. Usipomtazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unamuogopa.

KIHAYA

Advertisements

4 thoughts on “MWANAMKE ANAANGALIA NINI KWA MWANAUME WANAPOKUTANA

 1. Kama huu ndio utaratibu lazima nije kwa wajuzi, Kufanyiwa hii exam nikiclear huko sijapata hata F moja na nikirudi hapa watakomaje?

  kwanza nitakuwa siwaangalii kabisaaa wanitafute wao a ha ha ha haaa Yaeda chini si mchezo

 2. -Uelewa wa mambo kutokana na maongezi
  -uwezo wa kunisikiliza
  -they way anavyoji-carry
  -taking care kama kurefill my glass
  -showing interest in the things l do
  Etc

 3. kaka nimeona hiyo picha ya mwisho miguu ni ugonjwa wa baadhi ya wanaume wanapenda wanawake wenye miguu ka hiyo kaka

Comments are closed.