LOLIONDO KWALIPUKA TENA…. MWANDISHI WA BBC AKAMATWA.

m2s breaking newsMida ya jioni kama saa kumi na mbili kasorobo  Mwandishi wa Habari wa BBC  Bw. Jayson amekamatwa Loliondo kwenye mkutano uliododa wa Mwigulu Nchemba uliopo kata ya Waso.

Inasemekana mwandishi huyo alikamatwa baada ya kugundulika alikuwa anafanya uchunguzi kuhusu migogoro kati ya Wamasai wa Loliondo na Mwaarabu anayejulikana kwa jina la Ortelo. Kwenye mkutano huo wamama wa kimasai walimrushia Mwigulu kadi za ccm huku wamepandwa na hasira.

stay tuned!

UPDATE:
ilipo fika mida ya moja kasorobo Tundu Lissu aliweza kuomhea na mwandishi wa BBC aliyekamatwa Bw. Jayson, hivi sasa Tundu Lissu ambaye naye alikuwa na mkutano huko ameamua kutoka Soitsambu kwenda kumtetea na kuhoji sababu za mwandishi wa habari kukamatwa.

Waandishi wengine wa habari Ramadhan Mvungi wa Startv na Musa Juma inasadikiwa wamekimbilia porini baada ya Mwigulu kuagiza wakamatwe, akihoji nani aliwaita kwenye mkutano wake!

Advertisements

10 thoughts on “LOLIONDO KWALIPUKA TENA…. MWANDISHI WA BBC AKAMATWA.

 1. Hey I am so delighted I found your webpage,
  I really found you by mistake, while I was searching on Bing for something else,
  Nonetheless I am here now and would just like to say thanks for
  a incredible post and a all round enjoyable blog (I
  also love the theme/design), I don’t have time to go through it all
  at the minute but I have bookmarked it and also added your RSS feeds, so when I have time I will be back to read a great deal more,
  Please do keep up the excellent jo.

 2. Mjegwa leo nimeona ninhacgie jambo la siasa katika hao watatu kinachofanyika ni mazingaumbwe tu kwani hakuna sie juwa tayari mchindi anajulikana mie binafsi na mtaja hapa mshindi atakuwa ni Hissen Ibrahim Makungu na sio tu kwa sababu ya jina la ukoo wake lakini jamaa anapesa za kuendesha baraza zima la wawakilishi au offisi kuu ya CCM pale kiswanduwi Nyongezwa Huenda kwenye Fungu.

 3. Sijambo Dominika Swahili is a nice language, isn’t it? Where did you go last time?If you’re inrsteeted in this kind of internship, please ask any questions you have. Just let me know!

 4. Mambo mazito haya Mkina. Si ya mehzco, si ya kuchukulia kirahisi hivi. Hivi hizi nchi zinavyowekea vikwazo Afrika, viongozi huvisikia? Hivi vikwazo vya Zimbabwe vinamhathiri Mugabe? Lengo la vikwazo ambavyo huwekwa na nchi za magharibi ni ili wananchi wawe na uchungu halafu wawashinikize viongozi. Mauaji kama ya London ni hivyo, hivyo. Hii ni hoja nzito.Kwa nini wanashindwa kumuua kiongozi wa Alkaida Iraq na kuua raia wengine?

 5. Good student discount. Young QuotesChimp pay the highest premi�ums for insurance. This burden can be reduced for good students. If you have a high school or college student in the family who gets good grades, let your insurance company know about it. It can save you money.

 6. Regular podcasts that share industry information, insights,
  advice, and guidance will create the impression that you’re someone the public can turn to.
  The underlying theme of these arguments is the same:
  the person is not a United States citizen and is not subject to federal tax laws because only United States citizens are subject to
  these laws. Define for yourself what good and beneficial things you believe you are receiving in this relationship.

 7. The mechanics of this system makes use of a
  flexible fund that is set up particularly for the said purpose.

  This income is # 100,000 in the UK although contractors
  can access tax planning at # 50,000. All over the nation, hard working American families are being absolutely
  crushed by oppressive levels of taxation, and our politicians are constantlycoming up with new ways to extract money from all of
  us every single year.

Comments are closed.