CCM MDEBWEDO, CHADEMA YAPETA LOLIONDO

loliondo wamasai

Baadhi ya wananchi wa asili ya kimasai wakiwa wameshkilia kadi za CHADEMA baada ya kurudisha zile za CCM Loliondo Jana.

loliondo wamasai 2

Kamanda Lisu akihutubia wananchi wa Loliondo ambao wako kwenye mgogoro mkali na serikali ya CCM inayotaka kupora Ardhi yao na kumpatia mwekezaji!

Taharifa za ndani ya chama cha CHADEMA zinasema mkutano wao uliofanyika April 6 2013 katika kijiji cha Soit Sambu Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro, imefanikiwa kuvunja ngome hiyo kongwe ya CCM ambako wanaccm zaidi ya 700 walirudisha kadi za ccm,na kuchukua za CHADEMA, Mkutano huo uliohutubiwa na Mkurugenzi wa haki za binadamu wa CHADEMA Kamanda Tundu Lisu, na Waziri kivuli wa utalii Mch Peter Msigwa,pamoja na viongozi wa Mkoa na Wilaya.

Wakati huo huo kwa Upande wa CCM waliofanya mkutano wao Waso mambo hayakuwa mazuri huku Nchemba na timu yake akiamburia hasira za wamasai ambazo kidogo zilitulizwa na Ole sendeka na Lekule, Wamasai walioudhuria mkutano huo walianza kuondoka huku wakiwa wamebeba mabango yanayosema tutapigania ardhi yetu mpaka mwisho.

Advertisements

5 thoughts on “CCM MDEBWEDO, CHADEMA YAPETA LOLIONDO

  1. Askari walioua kule sngoea mpaka sasa wamefanywa nini?Na nyie wananchi kunguru muoga hukimbiza ubawa wake, nyie huo ujasiri wa kukataa amri halali ya polisi mnautoa wapi? Mnapata faida gani? Bora hata Mwangosi waandishi wenzake wamekuja juu, na alikua kazini (ingawaje hawatamrudisha duniani)wewe mwenzangu na mie mkesha hoi ndo basi tena (rejea muuza magazeti moro)Wakati umefika tuamke..yasiyo na tija kwetu tuyaache

  2. Hey James,I am new to the MLM / Network Marketing business model. Your blog posts have been very invmaortife and are allowing me to do a focused amount of research into the CCM opportunity.I particularly like how you are able to thoroughly, but simply describe the differences between the various MLM Compensation Plans out there, as well as make the case for CCM above all the ones you have already checked.My brother Keith recently introduced to Independence Energy Alliance and have begun to look a little closer at their business profile and Compensation Plan. I can only assume that you have not done one of your exceptional analysis of IEA vs CCM and was hoping you would, so that I can make an informed decision as to which company to join.Should you research the difference in these two companies. hopefully as early as yesterday, please let me know where and when I can see and or hear your opinion.Otherwise, you can email me your results prior to posting it in a blog. Which ever you prefer.Thanks again for the information. Keep up the good work!

  3. Brother Simon, Naungana nawe katika knualaawi hawa Al-Qaeda kwani wanachukua maisha ya watu wasiokuwa na hatia ya vita ambavyo vingozi wa nchi zao wameanzisha. Kwa watu wote ambao wanaomuamini Mungu watajua ya kuwa Mwenyezi Mungu hapendelei masuala ya kulipiza kisasi. Iwapo hawa Al-Qaeda wanataka ku-revenge basi ni bora wakawashambulia wanaohusika moja kwa moja na mauaji yanayotokea katika nchi zao badala ya kuwafuata watu wasiokuwa na hatia wala madaraka.Habari za hapo Bongo? Salaam kwa wote. Baby.

  4. That’s a fabulous image Fiona and pefcret for both themes.Thanks so much for sharing your lovely work and joining us this month at Stamping Sensations and Penny Black and More challenges.B xI have a celebration with lots of prizes and it would be wonderful if you have time to create something to join in, you can check out what to do

Comments are closed.