MBUNGE PETER SERUKAMBA
MBUNGE PETER SERUKAMBA

Binafsi namfahamu Mbunge Peter Serukamba, nikiwa mmoja wa wanachuo wa kipindi hicho wa IFM ambaye nilishiriki kikamilifu kumwangusha kwenye kiti cha umakamu wa uraisi wa chuo, hatua hiyo tuliifikia kutokana na yeye kukosa uweledi wa kutuongoza ingawa walio mchaguwa walikuwa wale walio kuwa wametutangulia kwasababu kipindi hicho nilikuwa mwaka wa kwanza. “SIPINDI KUSEMA KUWA WAPIGA KULA WAKE WAMERUDIA MAKOSA HAYO ILA NINAPENDA KUSEMA NILAZIMA KUCHUKUWA HATUA STAHIKI KWA HILI.”

Tofauti na wengi mimi sikushanga pale nilipo msikia kwa masikio yangu  akiomba muongozo. (KWA WALE WALIO KOSA NIMEAMBATANISHA LINK HAPO CHINI ILI MSIKILIZE WENYEWE)

Ushauri

  • Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
  • Chief whip wa upinzani must act also
  • Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
  • Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
  • Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
  • Watu wa Kigoma wajiulize kama bado wanasabuabu ya kumkubatia huyu mtukanaji
Quote By kapotoloView Post
Jamani sasa bunge liwe rated 18, nimemsikia serukamba bila chenga akisema “come on fu**k you’. Tunakwenda wapi. Hii sasa imevuka mipaka, wananchi tuwawajibishe watu kama hawa, wanatufunza nini.
Quote By Daudi MchambuziView Post
Mh. Serukamba mbunge wa ccm wamewdiriki kuseme neno ‘—- YOU’ akiwa anawakatisha wabunge waliokuwa wakiingilia maongezi yake alipokua akichangia hoja juu ya swala la kesi ya rwakatale kujadiliwa bungeni.
Tusi hili la kiingereza limesikika vema na pia nina uhakika mda sio mrefu tutapata video yake dunia ijionee jinsi viongozi wetu wa taifa wanavyotukana kwenye chombo muhimu kama bunge tena hii ameongea lugha ya kimataifa itaeleweka zaidi.

My take;
Matusi siyo haiba ya chama chochote na wala ccm awapaswi kumkubatia.

Sikiliza AUDIO kwa kubofya  hapa chini:

Last edited by Inkoskaz; Yesterday at 16:39.

Advertisements