KIKWETE AMTEUA BI. JULIET RUGEIYAMU KAIRUKI KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC

Advertisements

One thought on “KIKWETE AMTEUA BI. JULIET RUGEIYAMU KAIRUKI KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC

 1. TANZANIA NCHI MASIKINI ZAIDI AFRICA MASHARIKI
  Wakati serikali dhaifu ya CCM ikiendelea kujisifu kutekeleza AHADI na ILANI yake kwa asilimia 100%, ripoti za kimataifa (Global Monitoring Report 2013) zinaonesha kuwa Tanzania inaongeza kwa kuwa na FUKARA wengi katika ukanda wa Africa Mashriki.
  Ukitoa Burundi ambayo iko kwenye matatizo ya kisiasa, Tanzania ni nchi pekee Africa Mashariki yenye Rasilimali nyingi na idadi kubwa ya watu ambao ni mtaji tosha kuendelea kwa haraka zaidi.. Utulivu wa kisiasa, ukitoa kung’oana meno na kesi za kigaidi, umeshindwa kuwa mtaji wa kupambana na umasikini kwa manufaa ya walio wengi.
  Umasikini Tanzania upo kwa asilimia 67.87% wakati Burundi ni 81.32% tofauti ya asilimia 13.45%.
  Hii ni aibu kubwa kwa SERIKALI ya safari za misiba, harusi, mikutano ya kimataifa na mikakati ya kung’oana meno tena bila ganzi wala meno kuuma badala ya kushughulikia UMASIKINI wa wananchi.
  Pia, uzalishaji kwenye kilimo umeshuka. Uhamaji toka kijijini kwenda mjini umekuwa sana, Kagera 1990-2010 zaidi ya nusu ya watu wameenda mjini.
  Source: http://www.nation.co.ke/News/Kenyans-poorer-than-Ugandans/-/1056/1755690/-/uhcjd8z/-/index.html
  Pia: http://econ.worldbank.org/WBSITE/EXTERNAL/EXTDEC/EXTDECPROSPECTS/0,,contentMDK:23391146~pagePK:64165401~piPK:64165026~theSitePK:476883,00.html

Comments are closed.