MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA KUKUTANA NA VYOMBO VYA HABARI JUMATATU 29 APRIL 2013

WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU, JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA

WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU, JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA

MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, JAJI JOSEPH WARIOBA ATAKUTANA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI SIKU YA JUMATATU TAREHE (29, APRIL 2013). WAANDISHI NA WAPIGA PICHA NYOTE MNAKARIBISHWA

Advertisements