UNYAMA MKUBWA ULIOFANYIKA ARUSHA, SIYO DINI WALA SIASA, HAYA NI MAUAJI YA KUANGAMIZA WATOTO NA KINAMAMA

  • SIKUBALI KAMA KWELI TANZANIA TUNAVITA VYA KIDINI, WALIO FANYA HIVYO NI WAUNI WACHACHE AMBAO LAZIMA WACHUKULIWE HATUA STAHIKI.
  • UGAIDI NI UDHAIFU (cowards) UWEZI KWENDA KUWASHAMBULIA WANAWAKE NA WATOTO ILI UTEKELEZEWE MATAKWA YAKO…… KWANINI USIMFUATE MUHUSIKA?
  • ARUSHA TUKO IMALA NA HATUOGOPI KUSEMA UKWELI HATA KAMA UTAWAUDHI BAADHI YA WATU, HASA WAKATI HUU WA MACHUNGU.

Kila kinachotokea kina chanzo chake. Tumeona kilichotokea sasa swali ni nini chanzo chake. Hakuna ubaya hata kidogo kwa watu kushuku lolote au yeyote kwani ndivyo akili ya mwanadamu ilivyoumbwa. Hata hivyo kushuku siyo ushahidi. Wapo wanaoshuku M23, wapo wanaoushuku mambo ya kisiasa na wapo wanaoushuku masuala ya kidini. Wote hawa wana sababu zao za kufanya hivyo.

NI kwa sababu hiyo umakini, weledi na uharaka wa vyombo vya uchunguzi kutafuta chanzo unahitajika. Ni katika kuuweka wazi ukweli – haijalishi ni upi – ndivyo watu wanavyoweza kuelewa chanzo cha tukio hili na hata kuwapa mwanga wa namna ya kujilinda huko mbeleni.

Nalaani vikali tukio hili kwani ni la kiwoga na lenye lengo la kupandikiza hofu miongoni mwa jamii. Hakuna sababu yoyote inayoweza kutolewa kulipa uhalali.

SERIKALI IMEVIGIZA VYOMBO VYAKE VYOTE VYA USALAMA KUSHUGULIKIA SWAHALA HILI PICHANI WANAONEKANA WANA USALAMA PAMOJA NA WANAJESHI WAKIWA ENEO LA TUKIO MARA BAADA YA SHAMBULIO HILO LA KUSTUKIZA.

SEHEMU YA UMATI WA WANANCHI WAKIWA AWAJUHI LA KUFANYA WENGINE WAKIWA BADO WAMEPIGWA NA BUMBUWAZI KAMA KWELI HAYA YAMETOKEA NDANI YA NCHI YAO.OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akizungumza na mmoja wa mapadri wa Kanisa hilo kupewa maelezo ya kuhusu kilichotokea kanisani hapo.

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

BAHADA YA VYOMBO VYA USALAMA KUWASAHAULI WANANCHI WAONDOKE MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA PAMOJA NA MWENZAKE NASSARI WALIONDOKA KWA MIGUU HUKU WAKIWAIMIZA WATU WAENDE KUCHANGIA DAMU HOSPITALI YA MT. MERU KWAHAJILI YA MAJERUHI WALIO SHAMBULIWA. 

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

BAHADA YA VYOMBO VYA USALAMA KUWASAHAULI WANANCHI WAONDOKE MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA PAMOJA NA MWENZAKE NASSARI WALIONDOKA KWA MIGUU HUKU WAKIWAIMIZA WATU WAENDE KUCHANGIA DAMU HOSPITALI YA MT. MERU KWAHAJILI YA MAJERUHI WALIO SHAMBULIWA. 

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA


Hali ya eneo mlipuko ulipotokea

Waumini na wananchi wengine wakiwa na shauku ya kujua kilichotokea

Ulinzi umeimarishwa

Viongozi wa Kanisa wakitoa taarifa ya kilichotokea kwa waandishi wa habari kabla ya Balozi wa Papa kuondolewa Kanisani hapo chini ya ulinzi mkali wa Polisi.

Wanasualama Mkoa wa Arusha, wakijadiliana jambo katika eneo la tukio

Meya wa Manispaa ya Arusha, Mh gaundence Lyimo akielekea eneo la tukio kwa miguu baada ya utaratibu wa kutumia magari kuwa mgumu kutokana na idadi kubwa ya watu na magari yaliyoziba njia.

Magesa Mulongo akiteta na RCO wa Mkoa wa Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, magesa Mulongo akijiandaa kuzungumza na wananchi kanisani hapo na kuahidi kuwa Serikali itahakikisha watu wote waliohusika na jaribio hilo ovu, pamoja na mtandao wao wanakamatwa. Alidai pia vikosi vya Jeshi maalumu kwa kuchunguza milipuko vitafika eneo hilo ili kufanya uchunguzi. Taarifa za eneo la tukio zinaeleza kuwa tayari kuna mshukiwa mmoja ameshatiwa mbaroni na yuko mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa mahojiano na uchunguzi zaidi.

Eneo lenye utepe ndipo kitu hicho kinachodhaniwa kuwa bomu kilipoangukia. Pichani unaweza kuona wigi za kichwani na viatu vya waumini vikiwa vimesambaa baada ya wenyewe kuviacha, miongoni mwao wakiwa ni majeruhi.

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Advertisements

4 thoughts on “UNYAMA MKUBWA ULIOFANYIKA ARUSHA, SIYO DINI WALA SIASA, HAYA NI MAUAJI YA KUANGAMIZA WATOTO NA KINAMAMA

  1. Mtanisamehe wadau, lakini ebu tuizbamane ukweli. Kwanini watanzania hatupendi kujiendeleza na kuendelea? Hivi chinga hapo karume atabaki hapo na biashara yake mpaka lini? hataki kubadilika wala kuangalia juu. Ebu kaeni chini na viongozi kujadili suala hili kikamilifu, angalieni maslahi ya kuhama, toeni maoni na maombi, basi mnapinga kabla kujaribu hata kuongelea suala hili? Mnataka mcikichini ibaki hivyo hadi lini?Tafuteni njia ya maendeleo, sio vijisababu vya kurudi nyuma. Kila mwezi, mwaka wamachinga wanaingia Dar hapo hapatatosha jamani, hivi sasa tuu mtaa wa kongo, maeneo ya kariakoo haya toshi Jee? Hamtaki mjengewe Machinga complex zingine ili wanazidi kumiminika kutoka mikoani nao wapate rizki kama nyinyi?

  2. No pues ni hablar,despues de asinesar en tlahuac a varios campesinos por la posesion de terrenos del metro y parajes aledaf1os,solo dejo mas caos a manos de l grupo popular francisco villa,respaldado por lopez villanueva quien ahora quiere ser delegado de tlahuac, y nunca le dieron solucion a las muertes,ni marcelo ebrard ni lopez obrador,entonces votarian por el PRD si es igual que lo sd emas partidos, es una resta de votos,la democracia no existe,existe la anarqia,la autonomia y a eso debemos de llegar otra ves!!!

Comments are closed.