VIDEO: TAARIFA YA POLISI JUU YA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA UTATA MTUPU.. WAANDISHI WACHANGANYIKIWA MIMI SIKUELEWA ANGALIA VIDEO HII LABDA WEWE UTAELEWA…

  • KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA LIBERATUSI SABAS – ACP ATOFAUTIANA NA TAARIFA YA AWALI YA MKUU WA MKOA.
  • WAGENI WAACHIWA KWA KUKOSA USHAHIDI BALI WENYEJI WAO WATANZANIA BADO WASOTA LUMANDE.
  • ALIYEFIKISWA MAHAKAMANI ASHITAKIWA KWA MAUAJI NA SIYO UGAIDI.
  • WAANDISHI WAPIGWA NA BUTWA KILA MMOJA AONDOKA NA LAKE.

 

Advertisements

2 thoughts on “VIDEO: TAARIFA YA POLISI JUU YA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA UTATA MTUPU.. WAANDISHI WACHANGANYIKIWA MIMI SIKUELEWA ANGALIA VIDEO HII LABDA WEWE UTAELEWA…

  1. Kwa nini wageni hao walikamatwa na kuhusishwa na kadhia hiyo? Serikali iko tayari kuwalipa fidia kwa kuwachafua kwa tuhuma zisizowahusu? Kwa nini walikamatwa wao badala ya wengine waliokuwa eneo la tukio? Watz tuna maswali mengi juu ya jambo hili na tunaelekea kuamini maneno ya Card Pengo

  2. Mimi ata sielewi wanmanisha FBI wameshindwa sasa wanaona watumie wakenya na waganda ambao kenya kila mwezi lzaima kuna mlipuko ,,,,,! polisi tz so wess! stupid intelenjinsia

Comments are closed.