VIDEO: ALICHOSEMA MUASHAM ASKOFU MALASUSA KUHUSU MLIPUKO WA BOMU KANISANI ARUSHA

Mkuu wa Kanisa la KKKT, Askofu Dk Alex Malasusa alisema kuwa tukio la Arusha ni la kikatili na aibu kwa taifa akiwataka wenye dhamana ya ulinzi na usalama kuchukua hatua kudhibiti hali hiyo akionya kuwa wasipofanya hivyo watahukumiwa kwa kosa la kukaa kimya mambo yakiharibika mikononi mwao.

“Wote wenye jukumu la kulinda na kuitunza amani waifanye kazi hiyo bila uoga. Wasipofanya hivyo iko siku watahukumiwa,” alisema Dk Malasusa

Advertisements