HALI TETE MTWARA LEO….

  • MBUNGE WA CCM NAYE  AFIKISHWA MAHAKAMANI PAMOJA NA WASHITAKIWA WENGINE 94

  • WAMO KATANI AHMED KATANI, SAIDI KULAGA WA CUF, HASSAN ULEDI NCCR MAGEUSI, HAMZA LICHETA TLP.

  • WANANCHI AWANA IMANI NA JESHI LA POLISI, WANADAI LEO MBUNGE WAO PAMOJA NA WENGINE  94 WAACHIWE

  • POLISI PAMOJA NA WANAJESHI WAPITA MITAHANI KUWAONYA WANANCHI KWA KUTUMIA VIPAZA SAUTI.

  • INADAIWA KUNAWALIO JIANDA KWA KUTENGENEZA MISHALE YA SUMU.

  • WANANCHI WAAMA USIKU NA WENGINE WAKIMBIZA FAMILIA ZAO.

Baada ya kamata kamata kuendele na juzi kumkamata Mbunge wa kuchaguliwa wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnain Murji likimtuhumu kuchochea vurugu za kupinga mradi wa bomba la gesi kutoka mkoani humo kwenda jijini Dar es Salaam, walio kamatwa na wanao tarajiwa kufikishwa mahakamani leo idadi yao inafikia 94 wakiwemo Katani Ahmed Katani (33) na Saidi Kulaga (45) wa CUF, Hassan Uledi (35) wa NCCR Mageuzi na Hamza Licheta (51) wa TLP, wote wakazi wa Mtwara.

Wananchi wa Mtwara awajarizishwa na hatua hiyo na hivyo kusambazwa vipeperushi venye madai yafutayo:-

  1. Wananchi wanataka wale 94 waliokamatwa kwa ajili ya vurugu hizo waachiwe au wapewe dhamana, wasipofanyiwa hivyo kutawaka moto.

  2. Vipeperushi vimeshasambazwa kuwa hakuna kazi Leo ili wananchi wote waende mahakamani.

 

Advertisements