ARUSHA INATISHA! POLISI WAWAGEUKA WANANCHI, SASA NI KUWINDANA TU.

 • MABOMU YARUSHWA KWA MASAA MANNE MFULULIZO BILA KIKOMO.

 • WANAHABARI WASHAMBULIWA.

 • MABOMU YARUSHWA KWENYE NYUMBA ZA WATU.

 • WANANCHI WAPOLWA NA POLISI….

 • MALI ZA WATU ZAHARIBIWA

 • SHUGULI ZOTE ZA SIMAMA.

 • JE TUSUBILI SAUTI YA SARAFINA WA SOWETO SOUTH NDIYO TUJUWE TUNAITAJI UKOMBOZI?

 • KARIBU PAUL CHAGONJA ARUSHA… KARIBU SANA.

 • HAKUNA ANAYE JUWA KITAFUTA NINI LEO..

kabla ya sakata hilo

Hawali wananchi wakiwa wamejikusanya kwa utulivu na amani katika viwanja vya soweto jijini Arusha kusubiri viongozi wa chama chao watawaambia nini huku polisi wakiwa wamewazingira

??????????????????????

??????????????????????

??????????????????????

??????????????????????

??????????????????????

hili ni moja ya makochi lililo pigwa bomu la machozi kwenye sehemu ya biashara ambako kulikuwa akuna watu ila mabomu yalielekezwa huko.

??????????????????????

hapa ni uwanja wa soweto ambako polisi awilikuwa wakikusanya pikipiki za wananci wanao kimbia na kuziweka eneo hili.

??????????????????????

kituo cha mafuta cha Njake… hayo ni mabomu ambayo yalirushwa mfululizo kwenye kituo hicho ambacho kiko kando ya eneo hilo la soweto.

??????????????????????

??????????????????????

??????????????????????

hili ni moja ya mabomu mengi ya machozi ambayo yametapaka eneo hilo.

??????????????????????

baada ya muda vijana walionekana kuto kuogopa tena na kuanza kujikusana wakisema mabomu ya polisi yakihisha wanawafuata

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

hili ni moja ya magari ya matangazo ya chama cha chadema ambalo lilipasuriwa matairi na risasi za moto

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

polisi kwakutumia risasi za mipila pamoja walishambulia gali hili la chama cha chadema.

??????????????????????

polisi kwakutumia risasi za mipila pamoja walishambulia gali hili la chama cha chadema.

??????????????????????

??????????????????????

??????????????????????

bahada ya kuwafukuza watu polisi walionekana wakiokota vitu vya thamani kama simu na mikoba ya wananchi walio timuliwa.

??????????????????????

??????????????????????

??????????????????????

??????????????????????

??????????????????????

DSCF9318

DSCF9319

DSCF9323

DSCF9324

DSCF9332

DSCF9333

DSCF9334

DSCF9335

DSCF9336

DSCF9337

DSCF9340

DSCF9341

Advertisements

2 thoughts on “ARUSHA INATISHA! POLISI WAWAGEUKA WANANCHI, SASA NI KUWINDANA TU.

 1. Pingback: Picha: ARUSHA INATISHA! POLISI WAWAGEUKA WANANCHI, SASA NI KUWINDANA TU...

 2. hello!,I love your writing very so much! proportion we be in contact more approximately your article on
  AOL? I need an expert in this space to solve my problem.
  May be that’s you! Having a look ahead to see you.

Comments are closed.