VIDEO: MNYIKA ASEMA NASSARI AMEAMISHWA HOSPITALI KWASABABU ZA USALAMA.

  • AKIONGEA NA VYOMBO VYA HABARI LEO JIJINI ARUSHA 19 JUNE 2013, MAHAKAMANI ARUSHA WAKATI HAKISUBIRI WABUNGE WA CHAMA CHAKE

  • HATAJA MAJINA YA WALE WALIOKUWA WANAMWINDA HUKU WAMEVAA MAVAZI YA WA UGUZI KATIKA HOSPITALI YA SELIANI.

  • HAONYA WENYE NDUGU WAANGA KUWACHUNGA NDUGU ZAO KWASABABU WANAWEZA KUPOTEA HIVI HIVI.

  • MAZISHI YA MMOJA WA WAHANGA KUFANYIKA ARUSHA KESHO.

Advertisements