EXCLUSIVE VIDEO INTERVIEW; NASSARI ATAJA WALIO MTEKA NA KUMPIGA.

  • MMOJA WAO NI KIONGOZI MWENYE ASILI YA KISOMALI, ALIYEKUWA MSIMAMIZI WA MOJA YA VITUO VYA KUPIGIA KURA.
  • HABAINISHA KUWA KAMA MSIMAMIZI MKUU NA WAKALA WA CHAMA CHAKE KWENYE ZOEZI LA KUPIGA KURA ZA UDIWANI, ALIYE APISHWA NA TUME WAJIBU WAKE ULIKUWA NI PAMOJA NA KUTEMBELEA KILA KITUO,  SIYO KWELI ALIVAMIA SEHEMU AMBAYO HAKUPASWA KWENDA.
  • WANAO SADIKIWA KUMPIGA HAWAKUWA WAMASAI BALI WALIVAA KAMA WAMASAI NA YEYE ALIWATAMBUA, AWATAJA MAJINA NA SEHEMU WALIZO TOKEA.
  • AMWELEZA WAZIRI MKUU NA KUSHANGA KWANINI MPAKA SASA AWAJAKAMATWA NA YEYE ALITOA TAARIFA POLISI ZAIDI YA MARA  3.
Advertisements