POLISI WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA USIKU HUU

m2s breaking news

Waruka ukuta na kuvamia nyumbani kwake majira ya saa sita usiku. Taharifa kutoka kwa Mke wa Kamanda Lema kwa njia ya simu anasema bahada ya kuingi ndani kwa lengo la kumkamata Lema na kufanya upekuzi… mida ya saa 00:35 usiku huu ndiyo wameondoka Wameondoka!

Advertisements