BREAKING NEWS:- SUGU AMEKAMATWA

m2s breaking news

Habari zilizotufikia hivi punde zinadai  Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amekamatwa kwa kile kinachoitwa uchochezi na kumkashifu Waziri Mkuu Mzengo Pinda.

habari kamili kuwajia hivi punde.

update:- ametolewa nje kwa dhamana

Quote By Godbless Lema
Ninasikitika na Jeshi la Polisi kumkamata Sugu na kumhoji juu ya kauli yake kuwa Waziri Mkuu ni Mpumbavu kwa maana ya maneno aliyosema Waziri Mkuu Bungeni juu ya kuruhusu Polisi kushambulia raia.Napenda kusisitiza kuwa alichosema Sugu sio matusi bali ni sifa kwa Waziri Mkuu juu ya kauli yake ya kinyama aliyotoa Bungeni.

Sugu, uko sawa na Mungu anatambua hilo.

Lema

Advertisements

One thought on “BREAKING NEWS:- SUGU AMEKAMATWA

  1. Alichokifanya Sugu ni dharau kubwa naweza sema hajitambui pia maana hata biblia inasema tuheshimu mamlaka zilizowekwa na Mungu,tatizo letu tumekuwa washabiki tu kama Simba na Yanga hatutafika salama maana wanaoumia ni wananchi wa kawaida

Comments are closed.