RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI.

bu1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki lkatika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam

bu2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

bu3

Wageni wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.  PICHA  ZOTE KWA HISANI YA IKULU.

Advertisements