JK AMWAGA SIFA LUKUKI KWA KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LTD

Rais Jakaya  Kikwete akipata maelezo toka kwa Afisa Masoko wa Kampuni ya MEGA TRADE INVESTMENT LTD Bw. Goodluck Kway mara baada ya kutembelea banda lao jana katika viwanja vya  sabasaba jijini Dar es saalam

Rais Jakaya Kikwete  akipokea zawadi  ya kinywaji cha K-VANT GIN kutoka kwa Afisa Masoko wa Kampuni ya Megatrade Investment ltd Bw. Goodluck Kway mara baada ya kutembela banda hilo jana katika viwanja sabasaba jijini Dar es saalam ambapo Rais Kikwete alipongeza kampuni hiyo na kuhaidi kuwa serikali itaendelea kuwaunga mkono

Taswira katika banda la kampuni ya Megatrade Investment katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es saalam

 

Afisa Masoko wa Megatrade Investment ltd Bw.Goodluck Kway akiwa ndani ya banda lao lililosheheni bidhaa mbalimbali inayotengenezwa na kampuni hiyo yenye makao yake makuu jijini Arusha

community-herder-2.gif

Advertisements