ERASTO AUWAWA NI BAADA YA MAJIBISHANO YA RISASI NA MAJAMBAZI

erasto-maiti

Mwili wa marehem Erasto ukiwa unakaguliwa na polisi mara baada ya polisi kufika sehemu ya tukio ambapo inasadikiwa marehemu ambaye ni mfanya biashara maharufu wa madini ya Tanzanit na mmiliki wa Hotel ya SG alishambuliwa na majambazi kwa risasi na kuuwawa jana.

Pichani juu askari wakikagua mwili wa  Erasto Msuya, mmoja wa Wafanyabiasha wakubwa wa Madini jijini Arusha aliyejulikana ambaye pia ni mmiliki wa SG HOTEL mkoani humo, baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi na kufa papo hapo.

 Kwa mujibu wa baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walidai kuwa mfanya biashara huyo alifariki dunia mara baada ya majibishano ya risasi baina ya majambazi hayo na mfanya biashara huyo ambapo alizidiwa  nguvu na kupigwa risasi na kufariki dunia

Habari zinaeleza na kubainisha zaidi kuwa Marehemu alikuwa akitokea KIA kwenda BOMA ambako alikuwa ameitwa na watu (ambao hawakujulikana mara moja) ili wakafanye biashara.

IMG-20130807-WA0003

Mwili wa marehem Erasto ukiwa unakaguliwa na polisi mara baada ya polisi kufika sehemu ya tukio ambapo inasadikiwa marehemu ambaye ni mfanya biashara maharufu wa madini ya Tanzanit na mmiliki wa Hotel ya SG alishambuliwa na majambazi kwa risasi na kuuwawa jana.

vogue-erasto

HILI NI GARI LA MAREHEM ERASTO LIKIWA SEHEMU YA TUKIO ALIPO SHAMBULIWA NA WATU WASIYO JULIKANA JANA

Advertisements

2 thoughts on “ERASTO AUWAWA NI BAADA YA MAJIBISHANO YA RISASI NA MAJAMBAZI

Comments are closed.