TAZAMA PICHA ZA WAFANYABIASHARA SINGIDA

DSCF0318Wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali wakionyesha bidhaa zao kwa wateja wao ambao ni  wasafiri, katika stendi ya singida ambapo mpiga picha wa jamiiblog alishuhudia mafuta ya alizeti lita 5 yakiuzwa sh.11000 hadi 13000

DSCF0319Picha ikionyesha namna walivyokuwa wakiwachangamkia wateja wao

DSCF0320

Advertisements