ASKOFU MKUU WA MAKANISA YA EAGT, MOSES KOLOLA ATUNAE TENA.

Taarifa zilizo tufikia na kuthibitishwa na Rev. Daniel Kulola ambaye ni mtoto wa Askofu Moses Kulola, Zinasema Askofu Moses Kulola amefariki dunia.

Nitaendelea kuwapa updates.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.

Kwaniaba ya M2S na Jamiiblog tunawapa pole wale wote waliyoguswa na msiba huu.

Advertisements