BREAKING NEWS: PADRI AMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR

BREAKING NEWS: Padri wa kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar, Joseph Mwangamba amemwagiwa tindikali na kujeruhiwa usoni na
kifua akiwa internet cafe.

Habari zaidi kukunja hivi punde.

Advertisements