ETI NINI? RAY C TENA …..

  • RAY C  AOKOKA NA KUBATIZWA !

 

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za bongo fleva ametangaza kupitia account yake ya instagram kuwa ameokoka. 

Kweli kila nafsi itarejea….

Advertisements