MAHAKAMA YA MOROGORO YAZIZIMA, BAADA YA PONDA KUFIKISWA CHINI YA ULINZI MKALI.


 
Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.Sheikh Ponda alishatikiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu Ambayo inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano Hadhara mwezi uliopita.Kesi hiyo imearishwa tena Mpaka Tarehe 01.10.2013.Mshitakiwa Amenyimwa Dhamana na Amerudishwa Rumande.

Sheikh Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
_MG_1506
_MG_1509
_MG_1511
_MG_1515
_MG_1520
_MG_1521
_MG_1522
_MG_1526 _MG_1529
_MG_1532
Advertisements

One thought on “MAHAKAMA YA MOROGORO YAZIZIMA, BAADA YA PONDA KUFIKISWA CHINI YA ULINZI MKALI.

Comments are closed.