VIDEO; CHADEMA WAMSHUKIA BALOZI WA CHINA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kimeamua kuandika barua kwa nchi ya China, Tanzania na Umoja wa Mataifa kupinga kitendo cha Balozi wa China kusimama majukwaani kama waenezi wa CCM.

Advertisements