BREKING NEWS; HOTELI YA FORODHANI NA KANISA LA ANGLIKAN MKUNAZINI VYALIPULIWA ZANZIBAR

m2s breaking news

Kwa mujibu wa redioni one; Mwandishi mwandamizi Faruq Karim ameripoti kuwa imetokea milipuko miwili shemu tofauti tofauti zanzibar, wa kwanza hoteli ya Forodhani kisha muda mfupi tena kwenye lango la kanisa la Anglikani mkunazini.

Taharifa Kamili Kukujia hivi punde.

Source: Radio one zilizotufikia

Advertisements