MAJAMBAZI YAZIDI KUTAMBA JIJINI ARUSHA….

Taarifa hizo zilitabananisha kuwa majambazi  yenye sila yalivamia na kuuwa mpita-njia, jambo ambalo linazidi kuonyesha kuwa kwa sasa majambazi yamewazidi nguvu polisi hususan katika jiji la Arusha.

 Sehemu inaposadikiwa kufanyika uhalifu huo ni katika ya jiji la Arusha inayo julikana kama mnara wa saa. Sehemu hiyo kwa kawaida kuna ulinzi mkali na mara zote gari za doria huwa zimeigesha maeneo hayo achilia mbali polisi ambao hulinda mabenki ya sehemu hizo.

M2S kwa nia njema tu, tunahoji je hayo yamewezekana vipi kutokea mbele ya macho ya wana usalama?

 
Advertisements