ALAHAULA UJERUMANI! ALMANUSURA KUPATA KIPIGO KUTOKA GHANA; WAAMBULIA SARE YA 2 – 2 {TAZAMA MAGOLI HAPA}

  • Miroslav Klose aokoa jahazi la Ujerumani kwa kusawazisha bao, huku akijiwekea rekodi ya mabao ya kufunga kwenye kombe la dunia (15) sawa na Ronado.

  • Miroslav Klose afunga bao la kusawazisha ukiwa amegusa mpira kwa mara ya kwanza akitokea benchi la wachezaji wa akiba.

  • Mario Gotze ndiye alikuwa wa kwanza kuipatia Ujerumani goli la kuongoza dakika ya 51, huku ikiwachukua Ghana dakika 3 kusawazisha kupitia kwa Andre Ayew, baada ya hapo alikuwa ni Asamoah Gyan ambaye aliwapa bao la kuongoza Ghana huku Ujerumani ikisubilia kuokolewa na Klose.

  • Mchezo wa mwisho Ujerumani itacheza na Marekani huku Ghana wakiwakabili Ureno.

Dk. 63′ – Ghana walijipatia goli la kuongoza kupitia kwa  Asamoah Gyan kama inavyo onekana hapo chini…..

Dk. 54′ Ghana walipata bao la kusawazisha kupitia kwa Ayew aka inavyo onekana hapo chini ……

Dk. 50′ – Ujerumani wanajipatia bao la kuongoza kupitia kwa Gotze baada ya kupokea krosi kutoka kwa Muller.

Advertisements