{VIDEO} KICHUPA KIPYA CHA BEN POL Ft JOE MAKINI, “UNANICHORA”

wimbo wa Ben Pol ‘Unanichora’

Baada ya kuoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye tuzo za watu, sasa tunaileta kwako video ya wimbo wa Ben Pol ‘Unanichora’ .Video imeongezwa na mshindi wa tuzo ya watu ya muongozaji wa video zinazopendwa, Nisher.

//
Advertisements