{VIDEO} KICHUPA KIPYA CHA KALA JEREMIAH Ft NAY WA MITEGO; “SIMU YA MWISHO”

simu ya mwisho

Video Mpya kutoka Kala Jeremiah akiwashirikisha Nay Wamitego na Mo Music ngoma initwa “Simu ya Mwisho” Video imeongozwa na Director Pablo

Advertisements

One thought on “{VIDEO} KICHUPA KIPYA CHA KALA JEREMIAH Ft NAY WA MITEGO; “SIMU YA MWISHO”

  1. Kala Jeremiah hajabadilika kwenye mirindimo yake… jambo linalomfanya kutokukaa vizuri kwenye mikito ya ngoma hiyo.
    Kwa upande wa Nay Wamitego yeye amepoteza.
    Video imesimama lakini kiukweli hakuna jipya na kuna uvivu fulani uliofanywa na mwongozaji (director) kama angejipa muda na kuwa mbunifu angeweza kufanya vizuri zaidi.
    Pamoja na mapunguvu hayo bado ni ngoma nzuri….. naweza kuipa 6 ya 10
    ……………………….. NATOKA.

Comments are closed.