Emanuel Austin

Hii ni Video Mpya kutoka kwa Mtanzania aishie nchini Ujerumani Emanuel Austin aliyemshirikisha Dj Verde. wimbo unaitwa “I Have To Go” ambao video yake imefanyaka jijini Dar es Salaam chini ya muongozaji Jerry Mushala.

Advertisements