MOVIE REVEW:- PICHA MPYA YA EXPENDABLES 3 (2014).

MOVIE REVEW:- PICHA MPYA YA EXPENDABLES 3 (2014).

Picha ambalo lilikuwa linasubiliwa la Expendables 3 ambayo inatoka rasmi Agosti 24 2014 tayari imeingia mitaani. Hii ni bonge la picha na naweza sema ni kali zaidi ya zile zote Expendables zilizo tangulia. Ndani ya Expendables 3 Barney (Stallone), Krismasi (Statham) na timu nzima ikiwausisha wakali kama Jet Li, ya Expendables wanakutana uso kwa uso … Continue reading

NAZIZI ATHIBITISHA KUWA NA UHUSIANO NA MTANZANIA HERRY SAPPY.

NAZIZI ATHIBITISHA KUWA NA UHUSIANO NA MTANZANIA HERRY SAPPY.

Rapper wa Necessary Noize, Nazizi wa Kenya amethibitisha kuwa yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na producer Mtanzania aitwaye Herry Sappy ambaye ni mtayarishaji wa muziki katika studio ya Homeboyz Productions ya nchini Kenya, baada ya wawili hao kukanusha habari hizo miezi kadhaa iliyopita. “Yeah tuna date, unajua ni miezi michache sasa”, alisema Nazizi kupitia 255 … Continue reading

“WAHENGA WALINENA UTAVUNA ULICHOPANDA, MAPENZI TELE KWA KILA MTU”, LADY JAYDEE

“WAHENGA WALINENA UTAVUNA ULICHOPANDA, MAPENZI TELE KWA KILA MTU”, LADY JAYDEE

Lady Jaydee  July 27 alitangazwa kuwa washindi katika tuzo za AFRIMMA 2014 nchini Marekani alipo shinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kike Afrika mashariki. Tuzo hizo ziliwashindanisha wanamuziki mbalimbali wakubwa wa Afrika. Lady Jaydee kupitia ukurasa wake wa Facebook aliwashukuru mashabiki wake, aliandika: “Nashukuru wote mnaokubali kazi zangu, wote mnaosimama na kutetea JayDee bila kusita, … Continue reading

VIDEO INTERVIEW:  JIMMY KABWE AELEZA MATARAJIO YAKE KAMA MTANGAZAJI MPYA WA KIPINDI CHA THE BIG EASY CHA CHOICE FM

VIDEO INTERVIEW: JIMMY KABWE AELEZA MATARAJIO YAKE KAMA MTANGAZAJI MPYA WA KIPINDI CHA THE BIG EASY CHA CHOICE FM

Mtangazaji mkongwe wa redio nchini na mmoja wa watangazaji wa kwanza kabisa wa Clouds FM, Jimmy Kabwe, amechukua nafasi ya Chris Lugoe aka ML Chris kwenye kipindi cha The Big Easy cha Choice FM ambapo atakuwa akishirikiana na Abby. “Kwakweli Choice FM is my choice,” Kabwe ameiambia Bongo5 kwenye mahojiano maalum. “Muda ulipofika wa mimi … Continue reading

MILIPUKO (UGAIDI) UNATUPITISHA ARUSHA KATIKA KIPINDI KIGUMU SANA; LEMA

MILIPUKO (UGAIDI) UNATUPITISHA ARUSHA KATIKA KIPINDI KIGUMU SANA; LEMA

“Arusha tunapita katika kipindi kigumu sana. Kwanza tulishuhudia mlipuko wa bomu kanisani, ikafuatiwa na lile la mkutano wa hadhara wa Chadema, kabla ya mwingine kulipuka kwenye baa na sasa nyumbani kwa Sheikh,” Lema. Arusha. Sheikh wa Msikiti wa Qiblatan,Sood Ally Sood (37) uliopo Kilombero jijini hapa amejeruhiwa kwa bomu la kurushwa kwa mkono alipokuwa akila … Continue reading

LOWASSA, SITTA NA WASSIRA HAWANA SIFA ZA KUWANIA URAIS; WARIOBA

LOWASSA, SITTA NA WASSIRA HAWANA SIFA ZA KUWANIA URAIS; WARIOBA

Asema anatakiwa awe kijana mwenye maadili, mwajibikaji Asema hatagombea urais, aachwe alee wajukuu Dar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa dira ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kutaja sifa za rais anayefaa kuiongoza Tanzania. Warioba alisema kwamba taifa la Tanzania linastahili kuongozwa na vijana wenye nguvu ya mwili na akili. “Mimi … Continue reading

VIDEO: MR BLUE AKIWA NA VIJANA WA B.O.B MICHARAZO WAMEACHIA KICHUPA KIPYA KIITWACHO “SHUT UP” (KIMYA).

VIDEO: MR BLUE AKIWA NA VIJANA WA B.O.B MICHARAZO WAMEACHIA KICHUPA KIPYA KIITWACHO “SHUT UP” (KIMYA).

Vijana wa B.O.B Micharazo, wakiongozwa na front runners, Mr Blue na Nyandu Tozi, wameachia video ya ngoma yao mpya iitwayo ‘Shut Up’ (Kimya). Kwenye ngoma hiyo iliyotayarishwa na Marco Chali, rappers hao wanafanya mtindo wa kubeto na hivyo kupeleka onyo kali kuwanyamazisha wapinzani wao. Katika verse ya Mr Blue ambaye amesima vizuri amefungua ngoma hiyo … Continue reading

BARUA YA MUME WA FLORA MBASHA KWA MCHUNGAJI GWAJIMA

BARUA YA MUME WA FLORA MBASHA KWA MCHUNGAJI GWAJIMA

Hii barua ya Mume wa Mwimbaji wa Nyimbo za injili nchini – Flora Mbasha kwenda kwa mchungaji maarufu nchini, Mchungaji Gwajima inakuhusu…. “Mchungaji …yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya ‘utajiri’ wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda mkewangu akanijibu kupitia … Continue reading