SIKILIZA WIMBO MPYA WA JOSE CHAMELEONE UITWAO “WALE WALE”

Muimbaji wa Uganda, Jose Chameleone ameachia single yake mpya iitwayo Wale Wale.

“To all my fans worldwide Brand new!!!!! “WALE WALE” as i Activate invasion 2015,” hayo ndiyo maneno aliyoandika kwenye ukuta wake wa kitabu (Facebook).

//
Advertisements

KIKWETE ZIARANI TENA UGHAIBUNI

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wiki hii atahudhuria mikutano miwili mikubwa ya kimataifa ukiwamo wa kujadili amani na usalama Barani Afrika kwa mwaliko wa Rais Francois Hollande wa Ufaransa.

Rais Kikwete ambaye aliondoka nchini usiku wa kuamkia leo, Jumatano, Desemba 4, 2013, atakuwa mmoja wa viongozi wa Afrika ambao watahudhuria Mkutano Kati ya Marais wa Afrika na Ufaransa, ambao utafanyika kwa siku mbili katika Kasri ya Elysee mjini Paris kuanzia keshokutwa Ijumaa, Desemba 6, 2013.

Mkutano huo uliopewa jina la Elysee Summit utakuwa ni mkutano wa 26 wa Mikutano ya Wakuu wa Nchi za Afrika na Ufaransa ambao walikutana kwa mara ya kwanza mwaka 1973 kwa madhumuni ya kuzikutanisha Ufaransa na makoloni yake ya zamani katika Afrika.

Kwa mikutano miwili ya kwanza, washiriki walikuwa ni marais wa nchi za Afrika zilizokuwa makoloni ya Ufaransa lakini mwaka 1976 zilialikwa nchi zinazozungumza lugha ya Kireno katika Afrika kama watazamaji tu.

Mwaka 1981 jina na madhumuni ya mkutano huo yalibadilika na ukaanza kuitwa The Conference of Heads of States and Government of Africa and France na mwaka 1996 mkutano huo ulifunguliwa kwa nchi zote za Afrika bila kujali zinazungumza lugha gani. Awali mkutano huo ulikuwa unafanyika kila baada ya miaka miwili, sasa ni kila baada ya miaka mitatu.

Kama ilivyokuwa mkutano uliopita uliofanyika mwaka 2010 mjini Nice, Ufaransa, mada kuu ya Mkutano huo ni kujadili amani na usalama katika Bara la Afrika vikiwemo vita ndani ya nchi mbalimbali, uharamia kwenye bahari, biashara ya dawa za kulevya, ugaidi na ujambazi wa vikundi na jinsi mambo hayo yanavyoathiri Afrika na Ufaransa.

Aidha, Mkutano huo utajadili mada nyingine mbili ambazo ni Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo na Mabadiliko ya Tabia Nchi.

Rais Kikwete na mwenyeji wa Mkutano huo, Rais Hollande watakuwa Wenyeviti-Wenza wa kikao kitakachojadili madhara ya Mabadiliko ya Tabia Nchi. Rais Kikwete atakuwa Mwenyekiti-Mwenza wa kikao hicho katika nafasi yake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) Juu ya Mabadiliko ya Tabia Nchi (CAHOSCC).

Rais Kikwete anatarajiwa kuwaeleza viongozi wenzake matokeo ya Mkutano wa COP19/CMP9 uliofanyika karibuni mjini Warsaw, Poland kujadili suala zima la Madhara ya Mabadiliko ya Tabia Nchi.

Mkutano mwingine mkubwa ambao Rais Kikwete atahudhuria ni ule wa marais wa Afrika utakaojadili jinsi ya Jumuiya ya Kimataifa inavyoweza kushirikiana kukomesha ujangili na biashara haramu ya pembe za tembo na faru.

Katika Mkutano huo utakaofanyika Hoteli ya de la Marine, Rais Kikwete aanatarajiwa kuwaeleza viongozi wenzake kuhusu hatua ambazo zinachukuliwa na Serikali yake kukabiliana na ujangili nchini chini ya Operesheni Tokomeza.

MAHAKAMA YA MOROGORO YAZIZIMA, BAADA YA PONDA KUFIKISWA CHINI YA ULINZI MKALI.


 
Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.Sheikh Ponda alishatikiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu Ambayo inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano Hadhara mwezi uliopita.Kesi hiyo imearishwa tena Mpaka Tarehe 01.10.2013.Mshitakiwa Amenyimwa Dhamana na Amerudishwa Rumande.

Sheikh Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
_MG_1506
_MG_1509
_MG_1511
_MG_1515
_MG_1520
_MG_1521
_MG_1522
_MG_1526 _MG_1529
_MG_1532

MAANDAMANO YA AMANI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF, TAREHE 29 JUNI 2013 MPAKA IKULU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

CUF

  • PROF.LIPUMBA KUONGOZA,MAANDAMANO KUPOKELEWA NA RAIS KIKWETE.


Waheshimiwa waandishi wa habari, kwa niaba yangu binafsi na kwa niaba ya uongozi wote wa kitaifa wa Chama chetu, naomba kuchukua fursa hii kuwakaribisha Ofisi Kuu ya chama ili tupate fursa ya kuzungumza nanyi na kwa maana hiyo kuzungumza na watanzania kupia kwenu ili ujumbe uliokusudiwa na chama uweze kuwafikia wananchi popote pale walipo.

Tumewaita leo tarehe 22 Juni 2013 tukiwa na agenda moja kuu nayo ni kuwaeleza kwamba Chama cha Wananchi CUF kimeandaa Maandamano ya Amani siku ya tarehe 29 Juni 2013 maandamano ambayo yataanzia eneo la Buguruni kituo cha Mafuta saa nne kamili asubuhi, kupitia barabara ya Uhuru, Mnazimmoja, Bibi Titi, Posta mpya , Aridhi hadi Ikulu.

Maandamano hayo ambayo yataongozwa na Mwenyekiti wa Chama taifa Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, yanatarajiwa kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au mwakilishi wake, na kwamba yanalengo la kufikisha malalamiko ya wananchi kutokana na vitendo vya ukatili vinavyofanywa na jeshi la polisi na jeshi la wananchi ambalo kimsingi taifa letu linaelekea mahali pabaya.

Waheshimiwa waandishi wabari, mtakumbuka tarehe 15 Juni 2013 wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wakihitimisha mkutano wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata nne za Arusha, palitokea mlipuko wa bomu uliopoteza maisha ya wananchi wane kwa mujibu wa taarifa za polisi na wengine wengi kujeruiwa vibaya.

Kwa kuwa jambo hili lipo katika hatua za uchunguzi, Chama cha CUF hakikusudii kuingilia uchunguzi unaoendelea lakini tunataka kufikisha ujumbe kwa rais kwamba hii si mara ya kwanza kuundwa kwa tume mbalimbali za uchunguzi hapa nchini. Kinachotusikitisha ni kuwa hata mara baada ya uchunguzi huo, hakuna ripoti inayotolewa hadharani kuonyesha chanzo cha tukio, wahusika na hatua zilizo au zinazotarajiwa kuchukuiliwa.

Tutamtaka Mheshimiwa rais kuhakikisha ripoti ya uchunguzi itokanayo na maafa yaliyotokea Arusha iwekwe wazi na serikali iwachukulie hatua stahiki wale wote watakaobainika kuhusika na tukio hilo ili iwe funzo kwa wengine au wale wenye kuwa na malengo yanayofanana na hayo kwa kuwa Tanzania ni yetu sote na haitowezekana watu wachache wayachezee maisha ya watu kwa sababu ya kukidhi matakwa binafsi ambayo hayana tija kwa jamii.

Maandamano pia yanalenga kuishinikiza serikali kukomesha vitendo vya kinyama, vitendo vya kijangili vinavyofanywa na Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa kuwakamata, kuwatesa, na kubaka wananchi wasio na hatia wa Mkoa wa Mtwara na hasa wanaoishi katika wilaya za Mtwara Mjini, MtwaraVijijini, na Newala huku baadhi yao wakichomewa nyumba zao moto na wengine wakiporwa mali zao.

Waheshimiwa waandishi wa habari, mtakumbuka hivi karibuni pamekuwa na fukuto la suala la gesi katika Mkoa wa Mtwara ambapo baadhi ya maafisa wa Serikali wamekuwa wakipotosha madai ya wananchi ikidaiwa kwamba wananchi wa mkoa huo wamesema hawako tayari kuona gesi yao inatumiwa na wananchi wengine kinyume na wale wa mikoa ya Lindi na Mtwara jambo ambalo si kweli lakini wanayafanya haya ili kuwajengea chuki dhidi ya watanzania wengine ionekane kwamba wananchi wa Mtwara na Lindi ni wabinafsi na wasioitakia mema nchi yetu.

Madai ya wananchi wa Mtwara yanatokana na uzoefu waliokuwa nao katika maeneo yote ambapo pana miradi ya kimaenedeleo itokanayo na maliasili ya nchi, maeneo hayo yamekuwa masikini na watu wachache wamekuwa wanatajirika, walichotaka kufahamu wananchi watanufaikaje na uwepo wa gesi katika maeneo yao kabla ya kuinufaisha nchi mzima kwa kuwa wao ndiyo watakuwa wa kwanza kuathirika ikiwa patatokea hitilafu yoyote itokanayo na uchimbwaji wa gesi hiyo.

Leo tunaweza kujifunza kutokana na uchimbaji wa Dhahabu Geita (GGM), uchimbaji wa Almasi Mwadui Shinyanga, Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, Nyamongo na maeneo mengine mengi, nini hali ya maisha ya wananchi wa maeneo hayo.

Pamoja na upotoshwaji wa makusudi uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watendaji wa serikali juu ya suala la gesi ya Mtwara, inashangaza hata Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambalo lilionekana awali kutenda haki kwa wananchi wa Mtwara baada ya wananchi kukosa imani dhidi ya Polisi kutokana na wizi na uporaji wa mali za wananchi huku wakichoma moto baadhi ya maduka kwa lengo la kuhalalisha vitendo vya hujuma pamoja na kuchoma moto soko la Nkana Read, Jeshi lililojijengea heshima kwa jamii nalo limeanza kuingia mkumbo wa kuwatesa raia bila makosa.

Mwanzoni mwa wiki hii Mkurugenzi wetu wa siasa wa wilaya ya Mtwara Mjini Mhe. Saibogi ambaye pia ni mwenyekiti wetu wa serikali ya Mtaa alitekwa na wanajeshi na kumpeleka katika Kambi yao iliyopo barabara ya kwenda Nanyamba ambapo walimvua nguo na kumpiga mijeredi usiku kucha bila hatia na kumuachia asubuhi yake huku wakiahidi kuwakamata viongozi wengine wa CUF ili kutoa funzo kwa wale wanaopigania haki za wananchi.

Matukio ya namna hii si ya kuyafumbia macho na yanatengeneza serikali yenye kiburi isiyotokana na maamuzi ya raia. Maisha ya namna hii hayawezi kuendeshwa katika nchi inayojiita huru kama yakwetu na badala yake mambo haya yanatukumbusha enzi za utawala wa kikoloni ambpo CUF kamwe hatupo tayari kuruhusu vitendo vya kishenzi kuona vinafanyika nchini petu.

Tulikianzisha Chama hiki kwa madhumuni ya kuwaunganisha watanzania wote popote walipo, bila kujali itikadi zao, waweze kukataa aina yoyote ya uonevu, ukandamizaji, unyanyasaji, ubaguzi na udhalilishaji wa kisiasa au kiuchumi.

Aidha tuna dhamira ya kulinda, kutekeleza na kuzienzi haki za Binadamu pamoja na kuinua uchumi wa nchi kwa siasa zitumikie uchumi badala ya uchumi kutumikia siasa kama inavyofanyika hivi sasa. CUF tunaamini katika siasa za ustaharabu ambazo zitatuwezesha kuwa na jamii salama yenye mshikamano na ushirikiano katika kuijenga nchi yetu, lakini wenzetu wanatumia upole wetu na ustaharabu wetu kutufanyia vitendo vinavyokiuka utu wa mtu na hatimaye kila aliyepewa mamlaka ya kuongoza sehemu ya nchi yetu anageuka kuwa mfalme na kuamrisha kamata Yule, mpe kesi Yule na mwache Yule. Uvumilivu wetu usiwe mtaji kwa CCM na serikali yake kutufanya watakalo, nasi ni binadamu.

Waheshimiwa waandishi wa habari, maandamano yetu yanalenga pia kuitaka serikali kuwasikiliza wananchi wa Mtwara kwa kukaa nao chini, kujua hoja zao na kutoa ufafanuzi pale patakapobidi, sisi tunaamini wanazo hoja za msingi na wakisikilizwa serikali itaona namna ya kuzifanyia kazi hoja hizo badala ya kukurupuka na kutoa kauli za kibabe eti hawa wanachochewa na vyama vya siasa au pana watu wasioitakia mema nchi ndiyo wanachochea, kauli hizi zinajenga chuki na zanakosa uzalendo wa taifa. Haiwezekani hao wanaojiita ndiyo wazalendo halisi wawe wanaifidi nchi alafu tuendelee kukaa kimya kama vile wananchi wa kusini ni watu wasioweza kufikiri na kupambanua baya na zuri.

Wakati wananchi hawa walipopeleka maombi yao kupitia kwa Mhe. Mohamedi Habibu Mnyaa Mbunge wa Mkanyageni, ilikuwa nafasi nzuri kwa serikali kuweza kusikiliza maombi yao na kutoa maamuzi, badala yake siasa zikatumika, maombi yakakataliwa leo Bunge linaunda kamati ya uchunguzi iende mtwara wakachunguze nini ikiwa tayari hoja zao zilikataliwa?

Ieleweke kuwa nchi yetu itajengwa na watanzania wenyewe kwa kushirikiana na kusikilizana. Amani ya kweli itapatikana ikiwa haki itaonekana kutendeka kwa jamii yote. Waheshimiwa waandishi wa habari, haya ni sehemu tu ya mambo ambayo tunakusidia kumfikishia rais wetu ili aweze kuyafanyia kazi.

Mungu Ibariki CUF, Mungu ibarika Tanzania.


Imetolewa na Shaweji Mketo,
Naibu Mkurugenzi wa Mipango, Uchaguzi na Siasa,
tarehe 22 Juni 2013

SUPER FUND PULLS OUT OF GLOBAL GOLD MINER

New Zealand’s $22-billion Superannuation Fund has pulled nearly $2 million worth of investment out of Barrick Gold, the world’s biggest gold miner citing its human rights and environmental record.

The Canada-based mining giant, which has a market capitalisation of C$21b (NZ$25b), didn’t meet the human rights and environmental standards of the UN Global Compact, said Anne-Maree O’Connor, the fund’s manager for responsible investment.

“Barrick’s mines in Papua New Guinea and Tanzania have experienced a series of security-related, environmental and community problems over a lengthy time period,” she said.

While the company had taken steps to make improvements, there was no practical remedy for the environmental impact of riverine tailings, and the fund’s view was that progress on resolving community grievances and security issues had been slow, she said.

The use of riverine tailings – disposing of mine wastes into rivers – breached international norms.

The Super Fund has sold the $1.8m of Barrick Gold shares and $78,824 in shares of African Barrick Gold shares from its global equity portfolio, it said in a statement.

Its decision follows a move by the Norwegian Pension Fund in 2009 to drop Barrick Gold on ethical grounds. The Norwegian fund cited Barrick’s involvement in the Porgera gold mine in Papua New Guinea, Mining Journal Online reported at the time.

Shares of Barrick Gold last traded at C$21.11 on the Toronto Stock Exchange and have declined 44 per cent in the past 12 months.

In December, the Super Fund said it had excluded three Israeli companies from its portfolio on ethical grounds because of their involvement in illegal settlements and the security wall.

SOURCE:- By AAP

http://money.msn.co.nz/businessnews/national/8657749/super-fund-pulls-out-of-global-gold-miner

KIKWETE NDANI YA NAIROBI KUHUDHURIA KUAPISHWA KWA UHURU

nbo2 ab1e5

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta.

nbo3 e9b19

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ua.

nbo4 35e5a

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya.

nbo5 422d0

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni  baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013. Mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wamesimama pembeni na wenyeji wao

nbo5 e1925

CCM MDEBWEDO, CHADEMA YAPETA LOLIONDO

loliondo wamasai

Baadhi ya wananchi wa asili ya kimasai wakiwa wameshkilia kadi za CHADEMA baada ya kurudisha zile za CCM Loliondo Jana.

loliondo wamasai 2

Kamanda Lisu akihutubia wananchi wa Loliondo ambao wako kwenye mgogoro mkali na serikali ya CCM inayotaka kupora Ardhi yao na kumpatia mwekezaji!

Taharifa za ndani ya chama cha CHADEMA zinasema mkutano wao uliofanyika April 6 2013 katika kijiji cha Soit Sambu Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro, imefanikiwa kuvunja ngome hiyo kongwe ya CCM ambako wanaccm zaidi ya 700 walirudisha kadi za ccm,na kuchukua za CHADEMA, Mkutano huo uliohutubiwa na Mkurugenzi wa haki za binadamu wa CHADEMA Kamanda Tundu Lisu, na Waziri kivuli wa utalii Mch Peter Msigwa,pamoja na viongozi wa Mkoa na Wilaya.

Wakati huo huo kwa Upande wa CCM waliofanya mkutano wao Waso mambo hayakuwa mazuri huku Nchemba na timu yake akiamburia hasira za wamasai ambazo kidogo zilitulizwa na Ole sendeka na Lekule, Wamasai walioudhuria mkutano huo walianza kuondoka huku wakiwa wamebeba mabango yanayosema tutapigania ardhi yetu mpaka mwisho.

WATUHUMIWA WA JENGO LILILOPOROMOKA DAR MAHAKAMANI

  • WAKABILIWA NA JUMLA YA MAKOSA 24 LIKIWEMO LA KUUA BILA KUKUSUDIA.

  • SERIKALI INAWAKILISHWA NA MAWAKILI WANNE NA UPANDE WA UTETEZI UNAWAKILISHWA NA MAWAKILI SABA


Raza Hussein Ladha (kulia) na watuhumiwa wenzake kumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.


Watuhukiwa wakiondoka mahakamani baada ya kusomewa mashitaka


Mfanyabiashara Razah Hussein Ladha na wenzake 10 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam tarehe 3 Aprili 2013, wakikabiliwa na jumla ya makosa 24 ya kuua bila kukusudia.

Mbali na Razah washitakiwa wengine ni Godluck Mbaga, Wilbroad Mugabisyo, Ibrahim Kisoki, Mohamed Abdubakari, Charles Salu, Zonazea Anage,Vedasto Ferand, Michael Hemed Hemed, Albert Jones na Joseph Ringo ambao waliletwa jana saa nane mchana chini ya ulinzi mkali wa wanausalama ambao walikuwa wakiongozwa na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi Ilala (RCO), Duwani Nyanda.

Mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka mawakili waandamizi wa serikali waliokuwa wakiongozwa na Bernad Kongora, Tumaini Kweka, Lasdlaus Komanya, Peter Mahugo, Kinyeshi waliwasomea mashitaka hayo kwa kupokezana.

Wakili Kongora alidai mashitaka yote hayo 24 yanayowakabili washitakiwa wote yanafanana na kwamba wanakabiliwa na makosa ya kuua bila kukusudia kinyume na kifungu cha 195 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya mwaka 2002, kuwa mnano Machi 29 mwaka huu huko katika eneo la Mtaa wa Indira Gandhi waliwaua watu 24 bila kukusudia.

Hata hivyo wakili Kongora aliwataka washitakiwa hao wajibu chochote kwakuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo na kwamba mahakama yenye mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo ni Mahakama Kuu na kwamba upepelezi bado haujakamilika na kwamba wanaomba mahakama isiwapatie dhamana kwasababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kuwapatia dhamana.

Hata hivyo mawakili wa utetezi zaidi ya saba ambao Jerome Msemwa, Adronicus Byamungu ,John Mhozya waliomba mahakama hiyo iwapatie dhamana na washitakiwa wanao wadhamini wakuaminika kwasababu tayari kuna maamuzi mbalimbali yalishatolewa na mahakama ya Rufaa na mahakama Kuu katika kesi za makosa ya kujaribu kuua. Mahakama hizo zilisema mahakama za chini zina mamlaka ya kutoa dhamana kwa kesi ambazo zinafunguliwa kwanza mahakama ya chini na kisha zinakuja kuamishiwa mahakama kuu kwaajili ya usikilizwaji.

Hata hivyo mawakili wa Serikali walipinga maombi hayo kwa maelezo kuwa maamuzi hayo ya mahakama rufaa yalitolewa kwenye kesi ya kujaribu kuua wakati kesi inayowakabili washitakiwa hao ni kuua bila kukusudia na kusisitiza kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo na hivyo haina mamlaka ya kuwapatia dhamana.

“Mheshimiwa hakimu sisi upande wa Jamhuri tunawasii mawakili wa washitakiwa wawe watulivu na wavumilivu kwani kesi hii ndiyo kwanza imefunguliwa leo, na upelelezi bado haujakamilika na sheria zilizotungwa na bunge zipo wazi kabisa zinasema ni Mahakama Kuu peke yake ndiyo yenye mamlaka ya kusikiliza kesi hii na si mahakama hii hivyo tunasisitiza kuwa mahakama hii haina mamlaka ya kutoa dhamana,” alidai wakili Kongora.

Itakumbukwa kuwa Machi 29 mwaka huu, ghorofa mmoja lililokuwa linajengwa katika mtaa wa Indira Gandhi lilianguka na kusababisha watu idadi hiyo ya watu 36 kupoteza maisha.

MAELFU WAFURIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU BENSON AKIWEMO LOWASSA

0022222_b8f52

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa ametoa pole nyumbani mwa mjumbe wa baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Benson Mollel aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha jana hotelini jijini Arusha. Mh Lowassa akiwapa pole baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu Benson Mollel

002222222_2c582

Mh Lowassa akiwa na mwenyekiti wa CCM Monduli(kulia) Ruben Kunei na mjumbe wa halmashauri kuu taifa NEC (kushoto) Mathias Manga

0022222222_cb1eb

Mh Lowassa akitoa pole kwa mama mzazi wa Mollel nyumbani kwao Daraja Mbili Arusha

KIFO CHA KIONGOZI WA UVCCM_20130306000429

KIFO CHA KIONGOZI WA UVCCM_20130306000431

KIFO CHA KIONGOZI WA UVCCM_20130306000443

KIFO CHA KIONGOZI WA UVCCM_20130306000447

KIFO CHA KIONGOZI WA UVCCM_20130306000532

KIFO CHA KIONGOZI WA UVCCM_20130306000536

KIFO CHA KIONGOZI WA UVCCM_20130306000539

 

 

 

MABUNGE YA TANZANIA NA NAMIBIA KUSHIRIKIANA


Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne S. Makinda (kushoto)  akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Namibia nchini Tanzania Balozi Japhet Issack alipomtembelea ofisini kwake jana.Pamoja na mambo mengine Balozi huyo amemuomba Spika Makinda kuimarisha uhusiano  na Bunge la Namibia kwani kuna mambo mengi Bunge hilo linaweza kujifunza kutoka Tanzania.

Spika Makinda akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Balozi wa Namibia nchini Tanzania ambapo amemhakikishia Balozi huyo kuwa Bunge la Tanzania lipo tayari kushirikiana na Bunge la Namibia na kuona ni maeneo yapi ambayo yatawafaidisha wananchi wa  nchi mbili hizi. Aliainisha maeneo ya mafunzo na kujenga uwezo kuwa ya kipaumbele.(Na Prosper Minja-Bunge).

I NEVER TOOK PART IN ANY PROCESS THAT LEAD TO PROCUREMENT OF ASSAYERS MRAMBA

justice

FORMER Finance Minister Basil Mramba maintained that he never took part in the process that led to the procurement of M/S Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation, which was contracted to conduct audit of minerals exploration in Tanzania.

“I have already stated my position that I was not involved in this transaction,” the ex-Cabinet minister told a panel comprising Principal Resident Magistrates John Utamwa, Saul Kinemela and Sam Rumanyika at the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam. He was being cross-examined by Principal State Attorney Osward Tibabyekomya in the case in which Mramba is charged alongside two other former senior government officials, Daniel Yona and Gray Mgonja, who were Minister for Energy and Minerals and Permanent Secretary with Ministry of Finance and Economic Affairs, respectively.

During the hearing session, the State Attorney referred Mramba to a minute written by Yona on May 11, 2003, which was addressed to the President, informing him on the progress of the discussions between his ministry, Finance, Bank of Tanzania (BoT) and the Attorney General (AG) on the procurement of the Gold Assayers Company.

The minute, which is part of exhibits in the case, shows that the president gave a go-ahead to the parties to proceed with the discussions on the matter.

But when asked whether he was involved in the discussions, Mramba had this to say: “That is what the minute says. I never participated in the discussions with the Minister for Energy and Minerals.”

Mramba also took his time to explain why his ministry had granted tax exemptions to Alex Stewart Company. According to him, tax exemption was granted to the company through a Government Notice (GN) Number 422 of December 26, 2003 because the company had massive investments on processing plants.

He told the court that such tax exemption was granted after considering public interests to the nation and the need of having a gold assayers company in Tanzania, following several complaints from stakeholders that the government was not getting the revenue it deserved in the mineral sector.”The procurement of the gold assayers enabled the government to know exactly how much minerals were being explored, exported and the actual amount of revenue that it would get,” he said.

Mramba, however, agreed with the prosecution that at the time he issued the GN in question, the Cabinet had not been informed of the contract the government was to enter with Alex Stewart Company. He said the Cabinet was briefed on the contract in February 2004.In the case, the three former government officials are charged with abuse of office and occasioning 11bn/-loss to government.

It is alleged that they committed the offences between August 2002 and June 14, 2004 in Dar es Salaam, by giving preferential treatments to M/S Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation.

CARDINAL PENGO IS OK WITH POPE MOVE

THE Archbishop of Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo

THE Archbishop of Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo

THE Archbishop of Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo, has hailed the move by Pope Benedict XVI to announce his resignation, saying there is no need for panic and that other world leaders should learn from such decision.He has shown a high level of humility for seeing the truth inside himself and has come out publicly to announce his decision to resign,” Cardinal Pengo told journalists in Dar es Salaam.

He has shown us that the only thing to fear is God and that God will always be there to guide us so long as we live in this world knowing that we belong to Him,” he said. Cardinal Pengo noted that the decision should act as a challenge to all other leaders in the world to always measure their strength to lead others and whenever they feel incapacitated they should always consider resigning.

It is a lesson to leaders who have overstayed in power to the extent that their people are suffering because they have failed to serve them,” he stressed. Cardinal Pengo noted that the move brought new hope to the church and that there was no need to panic because Catholics will remain united and strong as ever.

He, however, admitted that the incident, which is the second of that nature after six centuries in the history of the Church came as a complete surprise to everyone. When asked whether it was time for Africa to take the Church’s throne, Cardinal Pengo said that the whole process according to the Catholic’s setup was being driven by the Holy Spirit.

hakimadini sera

WAKAZI WA CHUNYA SASA KUMALIZWA NA MAGONJWA.

map-chunya

  • Chunya ni moja ya wilaya zenye madini ya dhahabu ambapo uvunaji wake unategemea madini ya zebaki.

  • Uchunguzi wa asasi ya Agenda umebainisha kiwango kikubwa cha madini ya zebaki kinachosadikiwa kuwepo kwenye maeneo yamakazi ya watu.

ASASI isiyo ya kiserikali ya Agenda inayojihusisha na mazingira na maendeleo ya watu imetoa ripoti yake ya utafiti inayoonyesha wakazi wa vijiji vya Matundasi na Makongolosi Wilayani Chunya mkoani Mbeya wapo katika hatari ya kupata matatizo ya ubongo na figo.

Afisa miradi wa Agenda, Haji Rehani alisema madhara kwa wananchi hao yanatokana na kiwango kikubwa cha madini ya zebaki kilichopo kwenye maeneo wanayoishi.

Alisema utafiti wao unaonyesha kiwango cha ZEBAKI kilichopita viwango vya kamataifa kinacho ruhusiwa kuwepo kwenye maeneo ya makazi ya binadamu bila kuleta madhara ya kiafya.

hakimadini sera

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MAPINDUZI DKT. SHEIN AZINDUA BOHARI KUU LA DAWA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifungua rasmini Bohari ya dawa iliopo maruhubi mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Hii ni moja ya sehemu ya ndani ya Bohari la dawa lililopo  maruhubi mjini Unguja lililozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr.Ali Mohamed Shein akimuuliza swali msambazaji dawa na vifaa tiba Bi Husna Maulid huko katika Bohari kuu ya madawa maruhubi mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Hili Ndio Bohari la madawa lililopo Maruhubi mjini Unguja lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya uzinduzi wa Bohari la Madawa lililopo maruhubi mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mfamasia mkuu wa kwanza baada mapinduzi huko katika Bohari la madawa lililopo maruhubi mjini Zanzibar.(PICHA ZOTE KWA HISANI YA (MAKAME MSHENGA – MAELEZO ZANZIBAR).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema uzinduzi wa Bohari kuu ya Dawa utaiwezesha Serikali ya Mapinduzi Zanzíbar kupanga bajeti yake vyema ya dawa na kusaidia utoaji wa huduma za afya kwa ubora wa hali ya juu.

Bohari hiyo ya kisasa ni matunda ya kujivunia ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo kwa hakika italeta tija katika upatikanaji wa dawa na uimarisha wa afya za wananchi.

Dkt. Shein ameelezea matumaini yake kwa sekta ya afya kupitia Bohari hiyo na kwamba anaamini baada ya miaka mitatu Zanzibar itakuwa haipeleki tena Wagonjwa nje ya nchi kwa matibabu.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Afya Sira Ubwa amesema Bohari hiyo itaboresha utoaji wa huduma kwa uhakika kutokana na ubora wa vifaa na mitambo ya kisasa ambapo wataalamu wataweza kubaini mahitaji ya Dawa zinazohitajika katika kila Hospitali za Unguja na Pemba.

Nao Mabalozi wa Marekani na Denmark wameelezea kufurahishwa kwao na juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha afya ya Wananchi hasa katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Malaria na Ukimwi.

Bohari hiyo iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa msaada wa Shirika la USAID na NIDA inaelezewa kuwa ya tatu duniani katika viwango vya ubora ambapo jumla ya Dolla za Kimarekani Milion 1.2 zimetumika kukamilisha ujenzi wake.

hakimadini 002

RAILA AFUNDWA NCHINI TANZANIA KABLA YA UCHAGUZI WA KENYA

Waziri wa Ujenzi Mhe. John Magufuli akimuaga Mke wa Waziri mkuu wa Kenya Mhe Raila Odinga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere VIP Terminal jijini Dar.

Waziri wa Ujenzi Mhe. John Magufuli akimuaga Waziri Mkuu wa Kenya Mhe. Raila Odinga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mwl. Julius Nyerere VIP Terminal jijini Dar.

Waziri wa Ujenzi Mhe. John Magufuli wakiagana na Waziri Mkuu wa Kenya Mhe Raila Odinga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mwl. Julius Nyerere VIP Terminal jijini Dar.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Raila Odinga amerejea Nairobi baada ya kuwepo nchini Tanzania kwa mapumziko ya siku saba.  Mheshimiwa Odinga alitumia muda wa mapumziko yake hapa nchini kutembelea maeneo mbali mbali ya kihistoria, mbuga za wanayama na visiwa vya Zanzibar ambako alisherehekea mwaka mpya.

Katika ziara hiyo binafsi, Mheshimiwa Raila Odinga aliambatana na Mkewe Mama Ida Odinga pamoja na wanafamilia wa karibu. Duru za kisiasa zinasema ziara hiyo ililenga pamoja na mambo mengine kujaribu kuongeza ungwaji mkona kutoka kwa wanasiasa wa tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa nchini mwake.

Wakati akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Mheshimiwa Odinga alielezea kufurahishwa kwake na namna alivyoweza kupokewa na kupata muda mzuri wa mapumziko na kwamba sasa yuko imara kabisa kuendelea na majukumu yake ya kisiasa.

‘Nimepumzika vizuri na kusherehekea vyema mwaka mpya wa 2013 katika visiwa vya Zanzibar, ninawashukuru wote walioshirikiana na familia yangu na ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya’ alimalizia Waziri Mkuu huyo wakati akiagana na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwepo uwanja wa ndege kumsindikiza.

 hakimadini 002

ZANZIBAR GDP GROWS BY 10% IN THE LAST QUARTER 2012

Dr Ali Mohamed Shein

Dr Ali Mohamed Shein Zanzibar President  LIBRARY PHOTO

ZANZIBAR’S real Gross Domestic Product (GDP) grew by 10 per cent in the quarter ending September 2012 compared to a growth of 1.4 per cent of the corresponding period last year, mainly on account of good performance of the services sector valued 90.3bn/- compared with 82bn/- of the previous period.

According to the Bank of Tanzania (BOT) economic bulletin for the quarter ending September, this year, services account registered a surplus of 20.6 million US dollars, (about 32.96m/-) compared with a surplus of 14.1 million US dollars (about 22.56m/-) of the previous quarter due to an increase in receipts associated with tourism related activities.

During the period under review, procurement of cloves declined to 105.7 tonnes from 1,057.9 tonnes procured in the corresponding quarter in 2011. This development was on account of late onset of cloves procurement season and a decline in producer prices.

Producer price for grade one cloves was 12,500/- per kilogram compared with 15,000/- per kilogram paid during the quarter ending September 2011. Seaweed procurement increased to 3,616.9 tonnes from 3,515.5 tonnes procured in corresponding period in 2011 on account of improvements in prices.

Furthermore, production of bakery products, soft drinks, mineral water and jewel increased mainly on account of increased demand, while production of clothes and video cassette decreased mainly due to increased competition from imports.

The value of total exports of goods and services rose to 64.1 million US dollars (about 102.56bn/-) from 39.4 million US dollars (about 63.04bn/-), recorded during the quarter ending June 2012 on account of an increase in earnings from clove exports and receipts from tourism related activities.

Goods worth 11.4 million US dollars (about 18.24bn/-) were exported during the quarter ending September 2012, up from 9.1 million US dollars (about 14.56bn/-) of the preceding quarter mainly on account of an increase in clove export proceeds.

Non-traditional exports, mainly seaweed, manufactured goods and other exports increased by 63 per cent during the quarter under review when compared with the levels recorded in the preceding quarter. During the quarter under review, total value of imported goods and services increased by 43 per cent to 90.1 million US dollars (about 144.16bn/-), from 63 million US dollars (about 100.8bn/-) recorded in the preceding quarter.

Value of goods import increased by 24.2 per cent to 58 million US dollars (about 92.8bn/-) and accounted for 64.4 per cent of total imports. The goods import bill increased mainly on account of a rise in the value of capital goods.

TUNAWEZA BLOG ADVERT3

NEW CATEGORY INTRODUCED IN THE ANNUAL JOURNALISM AWARDS

d0a481f473

IBIS and Concern representatives in Busan with Audax Rukonge

THE Media Council of Tanzania together with the Agricultural Non State Actors forum (ANSAF) and BEST AC have introduced a separate category in the annual Journalism Excellence Awards on agriculture and agrobusiness.

ANSAF Executive Director, Mr Audax Rukonge addressing a press conference in Dar es Salaam said that in previous years, agriculture was part of the category under economic and business.

“This year, for the first time, it will be a category on its own targeting journalists who report on agriculture and agrobusiness topics,” he said.

Mr Rukonge said that the rationale behind the new category stems from the fact that the majority of Tanzanians in rural areas depended on agriculture for their livelihood and over 85 per cent of the nations’ population engaged in agricultural activities.

He said that to stimulate growth and upscaling in the agricultural sector, information on the ease of being a small holder farmer or entrepreneur in rural Tanzania is central. “The agro sector is one of the key engines for generating jobs for youth, though the road to success entrepreneurship knows many hurdles,” he said.

Mr Rukonge explained that the category would have three sub categories namely reporting on the rural business enforcement, reporting on rural citizen engagement and reporting in agriculture and agrobusiness.

Mr Hans Determeyer from BEST AC said that the new category aims at engaging journalists to submit their entries that focus on either of the sub categories that would provide them with opportunities to scoop the award.

He said that the category encourages more reporters in rural areas to participate in this year’s competition. “Journalists often are no able to cover rural areas for reasons of limited budgets, time constraints and lack of access to relevant contacts. This category will be fully funded by BEST AC and ANSAF,” he said.

TUNAWEZA BLOG ADVERT3

MORE THAN 800 SAUTI STUDENTS FAIL TO CONFERED THEIR DEGREES THIS YEAR

SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA

OVER 800 students form Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) will not be confered with their degrees this year after they failed to meet academic requirements to graduate.

The students are from different departments at the university’s main campus in Mwanza, including some from the Department of Journalism and Mass Communications as well as Education.

SAUT Deputy Vice Chancellor for Academic Affairs, Dr Thadeus Mkamwa announced that a total of 2,817 students were expected to graduate this year (November 24), but at least 514 male and 314 female students have failed to meet the academic requirements to do so.

“The number of failures is unprecedented at our university, but we want to ensure academic excellence thus students who graduate here have to meet the stipulated academic requirements,” he said.

The Head of Department (Journalism and Mass Communications), Ms Imane Duwe expressed concern over what she termed as alarming number of failures, saying that in the department alone 84 out of 119 finalists, which is 70 per cent, have not qualified to graduate this year.

Dr Mkamwa observed that among the main reasons for students to fail to graduate this year include incomplete course-works, students’s failure to submit their research work (dissertation), abscondment and others due to failure to pay their tuition fees.

He reassured the public that the institution will continue to take all necessary measures to promote quality education in the country with the aim of producing competent individuals to compete in both the local and international market in their various professional fields.

WILIBROAD SLAA LOST A LAWSUIT IN THE HIGH COURT

CHADEMA SECRETARY GENERAL WILIBROAD SLAA

CHADEMA secretary general Wilibroad Slaa friday October 19 2012 lost in a lawsuit in which he requested the High Court to set aside a petition by his former wife, Ms Rose Kamili, who seeks to block the politician’s new marriage.

 Ms Kamili wants the court to declare unlawful, null and void the new relationship between Josephine Mushumbusi and Slaa, which the two intend to formalise.

Dr Slaa had asked the court to strike out the petition because Ms Kamili, also Chadema’s Special Seats MP, did not have authority to block the marriage because she is not his legal wife.

But Judge Lawrence Kaduri said that, according to section 160(2) of the Marriage Act of 1971, Ms Kamili had the right to file the petition and that the court had authority to hear and determine it.

Ms Kamili also sought a declaration that her marriage with Dr Slaa exists, and that there cannot be another valid marriage after it.

Dr Slaa is blessed with two children with the Special Seats MP, with whom he started a relationship in 1985.

Ms Kamili also wants the court to order Ms Mushumbusi to pay her Sh500 million in damages for adultery and causing Dr Slaa to desert her and his family. Additionally, she wants Sh50 million in compensation for expenses incurred in the maintenance of herself and her family.